Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Alright kama umesoma vizuri tangu hii mada imeanza kuna baadhi ya shuhuda za watu zinasema wapo walioa na still wanapiga punyeto!!

Wapo watu ambao wamekiri kwa namna moja au nyingine kuwa walidhani kuoa ndio itakua suluhisho la kuacha masturbation lakini bado wamejikuta wapo kwenye tatizo lile lile.

Mtu aliyezoea kupiga punyeto kwa kipindi kirefu ndoa pekee haiwezi kuwa suluhisho la tatizo lake.
Unapiga puli na una mke ndani!
Hii sasa itakuwa ni tatizo kubwa kuliko nilivyofikiri. Anyways, majibu yangu yalilenga kwa mtu anayetamani kuacha siyo mtu anayependa puli. Ukioa na ukiishi maisha ya imani maana yake tamaa yako itakuwa kwa mkeo siyo mkononi mwako.

By the way, ukiwa umeoa puli unapiga hapo hapo nyumbani au gest ?
 
Kwan wote wanaopiga nyeto wamefikia Umri wa kuoa bro, mtu anapiga nyeto yuko form six unamuambia suluishao ni kuona kweli achen izo bhana
Kama unataka kuacha. Ukiwa mwanafunzi ni ngumu dawa ni kutoijaribu kabisaa...na kuishi maisha ya utakatifu. Ila ukiwa mtu mzima mwili utakudai.....
 
Mkuu mi nimeharibu baada ya kukaa wiki nimejikuta nimeangalia porn bila kujitambuaa nimepiga kimoja rohoo inaniuma sana.Ila bado muda ninao
Siku ya NNE Bila kupiga Punyeto

Nina zidi Kumshukuru Munu imetimia siku ya NNE, mbele nasonga. Leo nimejifunza kuwa maamuzi yana hitaji msimamo mkubwa sana hata pale unapoona unakaribia kushindwa unakumbuka kuwa nimeweka msimamo wakutochezea kiungo changu unapata nguvu mpya

Naendelea na mazoezi, kusoma NENO na kujifunza mambo ambayo yananifanya kuyawaza sana na na kuwa busy na kusoma vitu vya Kibiashara na maisha ya kawaida hivyo nasahau.

Na Leo nimeweka Mpango wa kuto kuja kupitia thread (Uzi) wenye vishawishi
 
Unapiga puli na una mke ndani!
Hii sasa itakuwa ni tatizo kubwa kuliko nilivyofikiri. Anyways, majibu yangu yalilenga kwa mtu anayetamani kuacha siyo mtu anayependa puli. Ukioa na ukiishi maisha ya imani maana yake tamaa yako itakuwa kwa mkeo siyo mkononi mwako.

By the way, ukiwa umeoa puli unapiga hapo hapo nyumbani au gest ?we
Asante Mkuu nimekuelewa pia nilicho maanisha ni kwamba since masturbation ni kitendo ambacho humuingiza mtu kwenye addiction mara nyingi huwa ngumu mtu kuacha kwa urahisi hata kama ameamua kuoa na amekusudia kuacha since masturbation its addictive!!

Imagine kwa mtu ambaye amezoea kupiga punyeto while watching aina mbalimbali ya porn hapa namaanisha zile HD porn au za wanawake wenye maumbile yanayomfanya mtu kuvutiwa nayo zaidi.

So kwa mtu wa namna hii akili yake tayari inakuwa kwenye shimo kubwa sana la kuamini kuwa hawezi kuridhika kama asipopata mwanamke kama yule anayemuona kwenye porn au anapoona mkewe hawezi ku respond kama mawanawake wa kwenye porn wanavyofanya!!

Ndio maana wengine wameona lakini bado wanafanya masturbation kwa siri kutokana na tabia iliyojengeka kwa muda mrefu
 
Kwan wote wanaopiga nyeto wamefikia Umri wa kuoa bro, mtu anapiga nyeto yuko form six unamuambia suluishao ni kuona kweli achen izo bhana
Well said bro jibu zuri kabisa mimi ni mmoja wao niliingia kwenye gereza la masturbation nikiwa na miaka 14!!

Je ilinipasa kuoa at that age?
 
Kuacha punyeto ni zoezi gumu kuliko yote duniani.
Ukifikisha siku 40 hujapiga punyeto hupigi tena.

Utarudi tu. Mwenye nia ya dhati hajitangazi kama wewe.
😂😂😂 kujitangaza hadharani sidhani kama ni vibaya lakini naamini ni hatua mojawapo ya kupata msaada na ushauri kwa watu waliowahi kupita kwenye shida ya namna hiyo ili waweze kushare mawazo namna ya kukabiliana na tatizo!!

Pasipo mashauriano ni rahisi kuanguka lakini katika wingi wa washauri kuna ushindi💪💪
 
Well said bro jibu zuri kabisa mimi ni mmoja wao niliingia kwenye gereza la masturbation nikiwa na miaka 14!!

Je ilinipasa kuoa at that age?
Apo uwez oa unadungua nyeto tu maana mihemko ya balehe unaweza baka bora ata nyeto watu waliojua madem mapema wameishia kuacha shule, na kupata matatizo mengi tu ila nyeto inaepusha wengi na hayo madhila
 
Mkuu mi nimeharibu baada ya kukaa wiki nimejikuta nimeangalia porn bila kujitambuaa nimepiga kimoja rohoo inaniuma sana.Ila bado muda ninao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora mpigie kwa afya kimoja kwa wiki au wiki mbili mkijibana sana kama hamna madem mtaona kila dem ni mkali mwishowe unajikuta umeoa kwa sababu imetokea
 
Licha ya porn kusoma story makala za mapenzi zinahamasisha sana
Ila haka katabia mweee kanachochewa sana na porn kah ... porn ni kaugonjwa katabia ya kuchungulia na kujitia majaribuni... WEKA KUNI KAVU MBALI NA MOTO ...
 
Mkuu mi nimeharibu baada ya kukaa wiki nimejikuta nimeangalia porn bila kujitambuaa nimepiga kimoja rohoo inaniuma sana.Ila bado muda ninao
Pole, Ila ninacho jua kwa kuwa umedhamiria utaweza tuu. Usikate tamaa nilipata ushauri Kwa watu kuwa hata ukikosea songa mbele, hivyo Nakwambia tuu Unaweza, anza tena kwa upya.

Namshukuru Mungu Leo ni Siku ya tano, na naendelea kukaa mbali na Punyeto na nimeanza kunikimbia.
 
Apo uwez oa unadungua nyeto tu maana mihemko ya balehe unaweza baka bora ata nyeto watu waliojua madem mapema wameishia kuacha shule, na kupata matatizo mengi tu ila nyeto inaepusha wengi na hayo madhila
Well sidhani kama hilo ndio suluhisho la kukabiliana na mabadiliko ya kimwili coz masturbation ina madhara both physically and spiritually!!

Baadhi ya Madhara ni haya;

1. Masturbation inaleta self condemnation and guilty

2. Its addictive

3. Inafungua mlango wa roho chafu (nguvu za giza kumuingia mtu) kwa mwanaume (spiritual wife) kwa mwanamke (spiritual husband)

Sasa ukiwa na spiritual wife/husband hata kwenye eneo la mahusiano kimwili linaweza kuwa na changamoto sana hasa kudumu kwenye mahusiano!!

Mtu anaweza kuingia kwenye mahusiano lakini hasifikie hatma ya ndoa kwa sababu spiritually tayari anakua kwenye ndoa na roho chafu.

4. Masturbation inaweza kumpelekea mtu kukosa uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito kwani husababisha(Low sperm count) kutokanana mtu kupoteza mbegu nyingi kwenye tendo hilo.

5. Pia huaribu mfumo wa kufikiri wa mtu;

Mara nyingi mtu aliye kwenye kifungo cha punyeto hujikuta anapoangalia porn au anapomuona mwanamke na kumtamani huvuta hisia katika mawazo yake na baadae hujikuta akifanya masturbation kwa ku imagine anafanya tendo na muhusika aliyemuona either live au kupitia mtadaoni.

6. Humkosesha mtu baraka kutoka kwa Muumba wake.
Kwa Mkristo punyeto ni tendo linalosababishwa na tamaa ya mwili na maandiko yapo dhahiri kuwa wafuatao matendo ya mwili hawatarithi baraka za ki Mungu

7. Pia husabisha uadui baina ya mtu na Mungu wake. since masturbation ni product ya tamaa ya mwili

Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu
RUM. 8:7

So Mungu akiwa adui yako aisee unaponea wapi katika ulimwengu huu wa sasa?

Madhara yapo mengi sana na kwa wale wanaopambana kutoka nawatakia kuishinda hii vita kwa msaada wa Mungu!!

For those wo see masturbation is good naheshimu misimamo yenu lakini pia Mungu awafunulie kuona kuwa hampo katika njia sahihi ili muweze kugeuka na kuacha!!

Apo uwez oa unadungua nyeto tu maana mihemko ya balehe unaweza baka bora ata nyeto watu waliojua madem mapema wameishia kuacha shule, na kupata matatizo mengi tu ila nyeto inaepusha wengi na hayo madhila
 
Ni siku ya Sita Mfululizo bila kupiga Punyeto, dhamira yangu Nina zidi kuimarisha zaidi ili Kusonga Mbele.

Mazoezi naongeza,
Kusoma Neno naongeza,
Na kuwa busy na kazi za mikono,
Na kuwa busy na Kusoma na kuandika nakala mbalimbali

Vyote hivyo navifanya huku;
Nikiachana kabisa na kutazama picha au video zenye kupelekea kuamsha hisia,
Nikiacha kuwa sehemu za pekee yangu tuu,
Nikiacha kuwaza kuwaza kushindwa

Asante Mungu kwa kuniwezesha
 
Me nadhani kuachana na hii ni kuwa na mpenzi au mke ambae yuko vizuri, unampenda na upate sex katika muda unaohitaji
Maana kwa sasa hata kuwa na mke/mpenzi sio guarantee ya kupata show on ryt time
 
Back
Top Bottom