Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeoa lakini weweAcha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii mada itachochea watu kufanya punyeto. Kuna mtu baada ya kusoma tu huu uzi kasisimkwa akafanye
Vipi umefanya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli Mtupu.Well sidhani kama hilo ndio suluhisho la kukabiliana na mabadiliko ya kimwili coz masturbation ina madhara both physically and spiritually!!
Baadhi ya Madhara ni haya;
1. Masturbation inaleta self condemnation and guilty
2. Its addictive
3. Inafungua mlango wa roho chafu (nguvu za giza kumuingia mtu) kwa mwanaume (spiritual wife) kwa mwanamke (spiritual husband)
Sasa ukiwa na spiritual wife/husband hata kwenye eneo la mahusiano kimwili linaweza kuwa na changamoto sana hasa kudumu kwenye mahusiano!!
Mtu anaweza kuingia kwenye mahusiano lakini hasifikie hatma ya ndoa kwa sababu spiritually tayari anakua kwenye ndoa na roho chafu.
4. Masturbation inaweza kumpelekea mtu kukosa uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito kwani husababisha(Low sperm count) kutokanana mtu kupoteza mbegu nyingi kwenye tendo hilo.
5. Pia huaribu mfumo wa kufikiri wa mtu;
Mara nyingi mtu aliye kwenye kifungo cha punyeto hujikuta anapoangalia porn au anapomuona mwanamke na kumtamani huvuta hisia katika mawazo yake na baadae hujikuta akifanya masturbation kwa ku imagine anafanya tendo na muhusika aliyemuona either live au kupitia mtadaoni.
6. Humkosesha mtu baraka kutoka kwa Muumba wake.
Kwa Mkristo punyeto ni tendo linalosababishwa na tamaa ya mwili na maandiko yapo dhahiri kuwa wafuatao matendo ya mwili hawatarithi baraka za ki Mungu
7. Pia husabisha uadui baina ya mtu na Mungu wake. since masturbation ni product ya tamaa ya mwili
Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu
RUM. 8:7
So Mungu akiwa adui yako aisee unaponea wapi katika ulimwengu huu wa sasa?
Madhara yapo mengi sana na kwa wale wanaopambana kutoka nawatakia kuishinda hii vita kwa msaada wa Mungu!!
For those wo see masturbation is good naheshimu misimamo yenu lakini pia Mungu awafunulie kuona kuwa hampo katika njia sahihi ili muweze kugeuka na kuacha!!
Kuacha ni kuchukuwa maamuzi.
Niliifanya kwa zaidi ya miaka 15!
Kichochezi ni: 1.kuangalia, kusoma Mambo yote yanayohusika na ngono
2. Ukuanza kufikiria masuala ya ngono ukiwa peke yako...
Vipi umefanya?
Glory to Jesus asante sana kwa ushuhuda mkubwa!!Kuacha ni kuchukuwa maamuzi.
Niliifanya kwa zaidi ya miaka 15!
Kichochezi ni: 1.kuangalia, kusoma Mambo yote yanayohusika na ngono
2. Ukuanza kufikiria masuala ya ngono ukiwa peke yako
Nilichokifanya nilichukuwa uamzi wa kusema : KUANZIA SASA MIMI BASI! Maombi pia yamenisaidia sana maana kila nilipo ni kusikiliza nyinbo na mahubiri. Na sijarudia tangu hapo
Ninamuomba Mungu anisaidie nisirudi nyuma maana Masturbation inamharibu mtu psychologically
God Is Able
[emoji3]Nimecheka tu kauli yako
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeoa lakini wewe
Duuuh...hili nalo nenoMimi ni veteran kwenye maisha ya ndoa, my firstborn anaingia university this year, nyeto haina shida wanajua watu wengi wakifanya itapunguza ngono na maambukizi ya HIV hence watashindwa kufanya biashara za madawa, hii ni kampeni inayodhaminiwa na makampuni makubwa
Dah kwel kabisaaMimi ni veteran kwenye maisha ya ndoa, my firstborn anaingia university this year, nyeto haina shida wanajua watu wengi wakifanya itapunguza ngono na maambukizi ya HIV hence watashindwa kufanya biashara za madawa, hii ni kampeni inayodhaminiwa na makampuni makubwa