Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Punyeto haiachiki mjukuu wangu mm na miaka 69 ila nipo chaputa kama mjumbe
 
Acha uoga bwana mdogo punyeto haina madhara yeyote kiafya tena inasaidia kupunguza uwezekano mwanaume kupata saratani ya tezi dume, mimi nimekua nikipiga puli tokea mwaka 1992 hadi leo hii na sina athari yeyote ile
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeoa lakini wewe
 
Well sidhani kama hilo ndio suluhisho la kukabiliana na mabadiliko ya kimwili coz masturbation ina madhara both physically and spiritually!!

Baadhi ya Madhara ni haya;

1. Masturbation inaleta self condemnation and guilty

2. Its addictive

3. Inafungua mlango wa roho chafu (nguvu za giza kumuingia mtu) kwa mwanaume (spiritual wife) kwa mwanamke (spiritual husband)

Sasa ukiwa na spiritual wife/husband hata kwenye eneo la mahusiano kimwili linaweza kuwa na changamoto sana hasa kudumu kwenye mahusiano!!

Mtu anaweza kuingia kwenye mahusiano lakini hasifikie hatma ya ndoa kwa sababu spiritually tayari anakua kwenye ndoa na roho chafu.

4. Masturbation inaweza kumpelekea mtu kukosa uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito kwani husababisha(Low sperm count) kutokanana mtu kupoteza mbegu nyingi kwenye tendo hilo.

5. Pia huaribu mfumo wa kufikiri wa mtu;

Mara nyingi mtu aliye kwenye kifungo cha punyeto hujikuta anapoangalia porn au anapomuona mwanamke na kumtamani huvuta hisia katika mawazo yake na baadae hujikuta akifanya masturbation kwa ku imagine anafanya tendo na muhusika aliyemuona either live au kupitia mtadaoni.

6. Humkosesha mtu baraka kutoka kwa Muumba wake.
Kwa Mkristo punyeto ni tendo linalosababishwa na tamaa ya mwili na maandiko yapo dhahiri kuwa wafuatao matendo ya mwili hawatarithi baraka za ki Mungu

7. Pia husabisha uadui baina ya mtu na Mungu wake. since masturbation ni product ya tamaa ya mwili

Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu
RUM. 8:7

So Mungu akiwa adui yako aisee unaponea wapi katika ulimwengu huu wa sasa?

Madhara yapo mengi sana na kwa wale wanaopambana kutoka nawatakia kuishinda hii vita kwa msaada wa Mungu!!

For those wo see masturbation is good naheshimu misimamo yenu lakini pia Mungu awafunulie kuona kuwa hampo katika njia sahihi ili muweze kugeuka na kuacha!!
Ukweli Mtupu.
 
Kuacha ni kuchukuwa maamuzi.
Niliifanya kwa zaidi ya miaka 15!
Kichochezi ni: 1.kuangalia, kusoma Mambo yote yanayohusika na ngono
2. Ukuanza kufikiria masuala ya ngono ukiwa peke yako

Nilichokifanya nilichukuwa uamzi wa kusema : KUANZIA SASA MIMI BASI! Maombi pia yamenisaidia sana maana kila nilipo ni kusikiliza nyinbo na mahubiri. Na sijarudia tangu hapo

Ninamuomba Mungu anisaidie nisirudi nyuma maana Masturbation inamharibu mtu psychologically

God Is Able
 
Mbona mnaacha, msiache banah mtaongeza vurugu mtaani na ushindani
 
Kuacha ni kuchukuwa maamuzi.
Niliifanya kwa zaidi ya miaka 15!
Kichochezi ni: 1.kuangalia, kusoma Mambo yote yanayohusika na ngono
2. Ukuanza kufikiria masuala ya ngono ukiwa peke yako...

Mkuu vipi kwenye hiyo miaka 15 hukuwahi kuhisi madhara yeyote hasa upande wa nguvu za kiume kama tunavyodanganywa kuwa punyeto inaua nguvu za kiume
 
Kuacha ni kuchukuwa maamuzi.
Niliifanya kwa zaidi ya miaka 15!
Kichochezi ni: 1.kuangalia, kusoma Mambo yote yanayohusika na ngono
2. Ukuanza kufikiria masuala ya ngono ukiwa peke yako

Nilichokifanya nilichukuwa uamzi wa kusema : KUANZIA SASA MIMI BASI! Maombi pia yamenisaidia sana maana kila nilipo ni kusikiliza nyinbo na mahubiri. Na sijarudia tangu hapo

Ninamuomba Mungu anisaidie nisirudi nyuma maana Masturbation inamharibu mtu psychologically

God Is Able
Glory to Jesus asante sana kwa ushuhuda mkubwa!!
God bless you🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Mimi ni veteran kwenye maisha ya ndoa, my firstborn anaingia university this year, nyeto haina shida wanajua watu wengi wakifanya itapunguza ngono na maambukizi ya HIV hence watashindwa kufanya biashara za madawa, hii ni kampeni inayodhaminiwa na makampuni makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umeoa lakini wewe
 
Mimi ni veteran kwenye maisha ya ndoa, my firstborn anaingia university this year, nyeto haina shida wanajua watu wengi wakifanya itapunguza ngono na maambukizi ya HIV hence watashindwa kufanya biashara za madawa, hii ni kampeni inayodhaminiwa na makampuni makubwa
Duuuh...hili nalo neno
 
Dah kwel kabisaa
 
Kwa uziefu wangu chanzo kikubwa cha nyeto ni kuangalia PORN sasa ikiwa unataka kuacha jitahidi kujiepusha kuangalia PORN. pia jitahidi kutojiweka peke yake maana pia mtu kukaa peke yako nako kunachangia kuangalia PORN tatu kama ulikuwa unachelewa kulala jitahidi ka ma ukimaliza mambo yako ya msingi tu ulale ..Mara nyingi watu huangalia PORN wakiwa hawana cha kufanya au mtu hanawakuchati nae .Jambo la nne jitahidi kutoweka bando kubwa Kwenye simu kwa Sababu mtu ukiweka mb kidogo kwenye siimu sio rahisi kuperuzi katika PORNSITES hivyo jitahidi kuweka bando kidogo usijiunge na Bando la GB au kama ukiwela bando hakikisha unalitumia kwa mambo ya msingi..Natumaini hii njia itakusaidia na kusaidia watu wengine
 
Nianze kwa kuwatakia Jpili njema wote.

imekuwa miaka 5 tangu nikutane na rafiki yangu ambae sasa ivi amekuwa kama ndugu yangu wa karibu sasa. Amekuwa msiri sana katika mambo yake ya mahusiano; kiufupi sikuwahi kumuona ana-date na mwanamke. Hii nikajua ni kutokana na malezi ya wazazi wake ni watu wa dini sana.

Sasa juzi alikuja akaanza kunieleza habari za kwamba anataka apate jiko ila kuna changamoto ambayo anayo ni uume wake umeathiliwa na musterbation(nyeto) maana toka O Level kasoma shule za seminary na advance shule za boys, hako kamchezo alikafurahia.

Sasa majuzi alipata demu kisanga ndipo kilipoanzia anasema mashine ilikuwa legelege yani after orgasm ndo haikusense kabisa. Sasa kanifuata nikiwa kama rafiki wa karibu nimpe ushauri namna gani anaweza akatatua tatizo hilo maana ndo mda wake wakutengeneza familia.

Wakuu kama kuna member anajua namna ya kumsaidia huyu mtu hata dawa namna ya kufanya naomba mniambie nimshauri.

Naomba kuwasilisha wakuu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom