Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Mkuu usiwaze utakaa sawa tu kikubwa usirudie hako kamchezo. Kula vzr mf ugal dona, kula karanga za kutosha na mbegu za maboga kwa kuzikaanga, mboga za majani ziwe nyingi kwenye list ya mboga zako, na mwisho kabisa piga tizi la adabu. Kumbuka mashine yako imejengwa na misuli so piga kaz misuli ikae sawa na mtiririko wa damu uende vzr kujanza mashine yako. Pia unaweza kujarb zoezi na kubana mkojo bila kuminya na mkono yani automatic ukakojoa unazuia, hii itasaidia kuimalisha misuli yako ya mashine kuwa vzrKaka vipi kuhusu hiz damages zilizitokea hasa kwenye viungo vya uzazi