MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

Ndio naskia kwako hii, any way source ni wapi
 
Na wale wasanii wanaonunua views wanafanyaje?! Kana huyo uliyemtaja
 

Hiyo ni kweli... wana kitu kinaitwa bandwidth meter.. hivyo wanamonitor mb zinazotumika youtube kwa kila ISP . Na huwa wanamdai chao.. maana bila wao voda ama tigo hauzi mb nyingi

Ila njia nyingine ni hiyo ya matangazo pia wanavuta hela kwa makampuni yanayoweka matangazo
 
Endelea hivyo hivyo kwa taarifa yako sio YouTube tu hata ridesharing app..ambazo zimekuwa integrated na Google Map

Ngoja nikuulize swali unafikiri Google Map wanatengenezaje hela..? .. kaa hivyo hivyo endelea kunywa bia tu hapo La Chaz
 
Nashangaa kuna mtu hata mchana hajala anakuja kusema tu Uongo..[emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna kitu kama hicho
 
Nahisi kuna ukweli hapa
 
Habari za jioni Wakuu! Hope mpo njema.

Tatizo langu ni kutaka kupewa maelekezo ya kina jinsi ya kufungua Account YouTube iwe ya kupakia video mbalimbali, ila sina A wala Z huko jinsi ya kufungua, jinsi ya kulipwa na ni video gani? Ambazo naweza kupakia na watu wakazipenda na ili ifikishe views wangapi? Ndo waanze kunilipa

Msaada tafadhali
 
Ingia youtube studio, menu ipo juu kushoto. Kwanza ili uanze kulipwa atleast uwe na followers kama elfu kuendelea, weka contents zako huku huku ukitafuta hao subscribers.

Mambo ya malipo yatakuja baadae. Anza na hilo kwanza.
 
Habari ndugu.
Kama kichwa cha maada kinavyojieleza, naomba mwenye ufahamu ya jinsi malipo YouTube kutokna na Viewers yanavyolipwa.
Asante
 
Habari ndugu.
Kama kichwa cha maada kinavyojieleza, naomba mwenye ufahamu ya jinsi malipo YouTube kutokna na Viewers yanavyolipwa.
Asante
Malipo yanategemea mamboo mengi ikiwemo niche (mfano kama content zinahusu technology utapata zaidi), location ya mtazamaji, ametazama tangazo kwa muda gani, na mambo mengine. Ila roughly ina range dollar 1-3 kwa watazamaji 1000 toka nchi hizi za bara let japo nchi kama USA na Maldives unakuta mfano Maldives kuna kipindi ilikuwa ina hadi CPM ya 15$ kwa views 1000
 
Mkuu, kwa haraka haraka ikiwa video zako zitakuwa na maudhui ya kibongo bongo na watazamaji kuwa wa kibongo na channel ihusiane na habari za wasanii na udaku hapo tegemea makadirio ya kupokea kama elf 2,500 kwa kila viewes elfu moja japo uwezekano wa kupata zaidi ya hapo nao upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…