sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ndio naskia kwako hii, any way source ni wapiHiyo ni njia ndogo sana ambayo YouTube anaingiza hela ila kikubwa anachofanya anaongea na makampuni Mama ya mitandao ya simu kama Vodafone, Bharti Airtel, At&T yale giants mobile operator then wanauza bundle mfano umenunua bundle ya 1,000 ume stream YouTube katika 1,000 yako YouTube wana percent yao pale