Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Youtube ni nyooko sana, viewers 1000 tsh2500?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inachezea 2300 mpaka 7000 ila ni sawa tu wanaofanya vizuri wana views hata millionYoutube ni nyooko sana, viewers 1000 tsh2500?
Kwa mwenye viewers 1000000x2300=2,300,000,000 au hesabu zangu zinadanganya?inachezea 2300 mpaka 7000 ila ni sawa tu wanaofanya vizuri wana views hata million
Kweli inaelekea hauko vizuri kwenye hesabu hesabu inabidi iwe hivi (1000000/1000)X2300Kwa mwenye viewers 1000000x2300=2,300,000,000 au hesabu zangu zinadanganya?
Chukua hilo jibu lako gawanya kwa 1000, utapata jibuKwa mwenye viewers 1000000x2300=2,300,000,000 au hesabu zangu zinadanganya?
Ndio maana nikasema hesabu zangu zitakuwa zinadanganya? ukiiacha hiyo kama ilivyo bila kugawanya kwa buku, kesho unakuwa watu wote washakuwa youtubersKweli inaelekea hauko vizuri kwenye hesabu hesabu inabidi iwe hivi (1000000/1000)X2500
Pia hizi hesabu tuna assume that all factors remain constant
unadhani ni rahisi hata kufikisha watazamaji buku? siyo rahisi hata kidogoNdio maana nikasema hesabu zangu zitakuwa zinadanganya? ukiiacha hiyo kama ilivyo bila kugawanya kwa buku, kesho unakuwa watu wote washakuwa youtubers
Tatizo siyo YT ila ni Audience.Youtube ni nyooko sana, viewers 1000 tsh2500?
Mkuu usimpe matumaini kwa sasa kazi anayo.Sio mda it’s a matter of contents kwamba are you creating your own, na pia kuwa una viewers wangapi plus subscribers, number of viewers inategemea na duration waliongalia video plus locality in short navyojua iko hivi 1000 viewers wanalipa 3-10 USD
Unamaanisha nn kiongoziMkuu usimpe matumaini kwa sasa kazi anayo.
Mkuu usimpe matumaini kwa sasa kazi anayo.
Chanel ako inaitwaje kkMwaka wa 5 bila bila .pole ndg
Google ni kama wamesanuka aisee hadi ufikie hatua ya kulipwa kwa sasa ni ume hustle kweli.inabid tumsupport kimawazo kama ana vision lakin na hiyo habar ya kununua channel sio jibu, it’s not a sin kuanza from zero kama he has whatever it takes lakin [emoji28]
Chief ili uanze kulipwa utakuwa umehangaika sanaa as long as wewe sio maarufu na hauna content pendwa!Unamaanisha nn kiongozi