MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

Kweli inaelekea hauko vizuri kwenye hesabu hesabu inabidi iwe hivi (1000000/1000)X2500
Pia hizi hesabu tuna assume that all factors remain constant
Ndio maana nikasema hesabu zangu zitakuwa zinadanganya? ukiiacha hiyo kama ilivyo bila kugawanya kwa buku, kesho unakuwa watu wote washakuwa youtubers
 
Ningependa kujua inachukua mda gan kuanzwa kulipwa youtube chanel afu kama kuna mtu ana youtube chanel inauzwa ambayo ishanza kulipwa anaiuza tujuzane.
 
Sio mda it’s a matter of contents kwamba are you creating your own, na pia kuwa una viewers wangapi plus subscribers, number of viewers inategemea na duration waliongalia video plus locality in short navyojua iko hivi 1000 viewers wanalipa 3-10 USD
 
Mkuu usimpe matumaini kwa sasa kazi anayo.
 
Mkuu usimpe matumaini kwa sasa kazi anayo.

inabid tumsupport kimawazo kama ana vision lakin na hiyo habar ya kununua channel sio jibu, it’s not a sin kuanza from zero kama he has whatever it takes lakin [emoji28]
 
uwe na subscribers elf 1 na masaa zaidi ya elf 4 yawe yameangaliwa kwenye videoa zako zote
 
inabid tumsupport kimawazo kama ana vision lakin na hiyo habar ya kununua channel sio jibu, it’s not a sin kuanza from zero kama he has whatever it takes lakin [emoji28]
Google ni kama wamesanuka aisee hadi ufikie hatua ya kulipwa kwa sasa ni ume hustle kweli.

Kazi kubwa kwa sasa naona ipo kwenye verifying ya matangazo ya AdSense pia muda wa watazamaji.
 
Back
Top Bottom