Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Umeme na maji hapana...Nimesomea umeme, lakini sikuwahi kufundishwa kumwagia maji...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]nashukuru mkuu lkn boysperner ndivyo tulivyoanza
lkn kuniambia nizimwagie maji hiyo test siiamini labda wewe mkuu ujaribu na ndoo
nimecheka nimekuona mahali umeletewa IST No D ukaitest kwenye lami na vumbi bado hujacheck Plug wireUmeme na maji hapana...Nimesomea umeme, lakini sikuwahi kufundishwa kumwagia maji...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ilipona?Hello habarini niko na gari yangu Toyota Altezza yenye engine ya 1G VVTI. Gari haina nguvu japo ukiindesha pasipo na mlima unaweza usijue kama iko na hiyo shida, Wakati wa asubuhi au ikiwa imepoa muda mrefu wakati wa kuondoka pia inakosa nguvu.Nimecheki ignition coil, spark plugs lakini bado tatizo liko palepale.
Naomba msaada tafadhari. Lakini gari haitoi moshi,haili oil.
Inshu yako ni gear box ndio mchawi wako kuna chujio zimezibaWandugu habari za mchana. Naomba msaada wa kiuzoefu na ufundi. Nina gari yangu Nisan Serena, from no where ilianza kukosa nguvu na hatimaye ikawa haichanganyi kwa maana ya kutomaliza resi...
Unaangaliaje?Huenda ni uvujaji wa pigo lamgandamizo wa hewa so angalia valve gape kwenye engine
Nini hasa husababisha gari kukosa nguvu kwenye miinuko hasa mlimani, sehemu zingine inatembea vizuri, lakini inakuwa nzito kwenye kuondoka na kukosa nguvu mlimani, gari haitoi moshi, haina mis, haichelewi kuwaka, aina ya gari ni Raum.
Uchunguzi huo ni hadi garage waangalie uwiano wa kufunga na kufungua kwa valve moja hadi nyingine kwa Muda sahihiUnaangaliaje?
Nini hasa husababisha gari kukosa nguvu kwenye miinuko hasa mlimani, sehemu zingine inatembea vizuri, lakini inakuwa nzito kwenye kuondoka na kukosa nguvu mlimani, gari haitoi moshi, haina mis, haichelewi kuwaka, aina ya gari ni Raum.
2 huenda likawa tatizo, maana hata vyioo Kuna kipindi havipandi, huenda umeme wa battery ni mdogo.1. Angalia vitu hivi kwenye ignition.
(a) Spark plug zinatakiwa kuwa kwenye specified resistance na pia electrode ya spark plug haitakiwi kuwa na contact yoyote na ground. (Spark plug inakuwa na resistance depending na material yaliyotumika kutengenezea na pia spark plug zingine huwa zinakuwa na resistor ndani.)
(b) Spark plug wires zinatakiwa kuwa hazijachubuka(well insulated) pia nazo huwa zinakuwa na resistance yake kutegemea na material.
(c) Coil on plug kama zipo nazo zinatakuwa kuwa katika resistance yake inayotakiwa...
2 huenda likawa tatizo, maana hata vyioo Kuna kipindi havipandi, huenda umeme wa battery ni mdogo.
Nitashukuru aisee maana inaboa sanaNgoja waje hapa mafundi watusaidie
Ndio mkuuHiyo rotation unamaanisha R.P.M?
Ndio mkuu