Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

nashukuru mkuu lkn boysperner ndivyo tulivyoanza
lkn kuniambia nizimwagie maji hiyo test siiamini labda wewe mkuu ujaribu na ndoo
Umeme na maji hapana...Nimesomea umeme, lakini sikuwahi kufundishwa kumwagia maji...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Umeme na maji hapana...Nimesomea umeme, lakini sikuwahi kufundishwa kumwagia maji...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
nimecheka nimekuona mahali umeletewa IST No D ukaitest kwenye lami na vumbi bado hujacheck Plug wire
 
Hello habarini niko na gari yangu Toyota Altezza yenye engine ya 1G VVTI. Gari haina nguvu japo ukiindesha pasipo na mlima unaweza usijue kama iko na hiyo shida, Wakati wa asubuhi au ikiwa imepoa muda mrefu wakati wa kuondoka pia inakosa nguvu.Nimecheki ignition coil, spark plugs lakini bado tatizo liko palepale.
Naomba msaada tafadhari. Lakini gari haitoi moshi,haili oil.
Ilipona?
 
Wandugu habari za mchana. Naomba msaada wa kiuzoefu na ufundi. Nina gari yangu Nisan Serena, from no where ilianza kukosa nguvu na hatimaye ikawa haichanganyi kwa maana ya kutomaliza resi...
Inshu yako ni gear box ndio mchawi wako kuna chujio zimeziba
 
Nini hasa husababisha gari kukosa nguvu kwenye miinuko hasa mlimani, sehemu zingine inatembea vizuri, lakini inakuwa nzito kwenye kuondoka na kukosa nguvu mlimani, gari haitoi moshi, haina mis, haichelewi kuwaka, aina ya gari ni Raum.
 
Badilisha fuel filter na air filter! Kama tatizo litaendelea tafuta fundi wa ku blow catalyc converter huenda zimeziba.

Kama gari yako inavuma sana kama altezza wakati haina mufler kubwa probably catalyc converter imeziba kwa kiasi flani inahitaji kusafishwa.
 
Jaribu OD/OFF wakati unapanda mlima
Nini hasa husababisha gari kukosa nguvu kwenye miinuko hasa mlimani, sehemu zingine inatembea vizuri, lakini inakuwa nzito kwenye kuondoka na kukosa nguvu mlimani, gari haitoi moshi, haina mis, haichelewi kuwaka, aina ya gari ni Raum.
 
Kama unaweza pita nayo kitonga mkuu hilo tatizo huwa linaisha
 
Nini hasa husababisha gari kukosa nguvu kwenye miinuko hasa mlimani, sehemu zingine inatembea vizuri, lakini inakuwa nzito kwenye kuondoka na kukosa nguvu mlimani, gari haitoi moshi, haina mis, haichelewi kuwaka, aina ya gari ni Raum.

1. Angalia vitu hivi kwenye ignition.

(a) Spark plug zinatakiwa kuwa kwenye specified resistance na pia electrode ya spark plug haitakiwi kuwa na contact yoyote na ground. (Spark plug inakuwa na resistance depending na material yaliyotumika kutengenezea na pia spark plug zingine huwa zinakuwa na resistor ndani.)

(b) Spark plug wires zinatakiwa kuwa hazijachubuka(well insulated) pia nazo huwa zinakuwa na resistance yake kutegemea na material.

(c) Coil on plug kama zipo nazo zinatakuwa kuwa katika resistance yake inayotakiwa.

2. Angalia kama fuel pump inapokea 12V kutoka kwenye battery. Kama ni chini ya hapo tafuta shida iko wapi na urekebishe ili ipokee kiasi hicho cha umeme.

3. Disconnect kila kitu kwenye pump yako. Halafu ipe pump 12V kwa muda wa sekunde 30. Kwa muda huo itatakiwa kudeliver angalau 950ml au zaidi.
 
1. Angalia vitu hivi kwenye ignition.
(a) Spark plug zinatakiwa kuwa kwenye specified resistance na pia electrode ya spark plug haitakiwi kuwa na contact yoyote na ground. (Spark plug inakuwa na resistance depending na material yaliyotumika kutengenezea na pia spark plug zingine huwa zinakuwa na resistor ndani.)

(b) Spark plug wires zinatakiwa kuwa hazijachubuka(well insulated) pia nazo huwa zinakuwa na resistance yake kutegemea na material.

(c) Coil on plug kama zipo nazo zinatakuwa kuwa katika resistance yake inayotakiwa...
2 huenda likawa tatizo, maana hata vyioo Kuna kipindi havipandi, huenda umeme wa battery ni mdogo.
 
2 huenda likawa tatizo, maana hata vyioo Kuna kipindi havipandi, huenda umeme wa battery ni mdogo.

Battery inatakiwa kuwa around 12.7V ukiwa umezima gari au kuanzia 13.8V hadi 15.2V ukiwa umewasha gari.

Lakini pia battery na alternator zinaweza kuwa nzima ila system fulani ikawa inapokea umeme pungufu.
 
Habarini wakuu,

Jamani nina gari yangu Mark X ambayo iko na engine 4GR kuna wakati rotation haimaliziki ikifika mahali flani inashuka na gari kukosa nguvu, lakini pia baada ya hapo inashitua na kuongeza nguvu please nisaidieni niweze kutibu hili tatizo.
 
Back
Top Bottom