Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu nissan xtrail haina shida hata kidogo...hii gari inahitaji kufuata masharti yake elekezi....hii gari inatumia oil ya nissan extrail tu...hivyo watu wengi wanapofanya service huwa wanatumia oil ambayo not recommended kwa xtrail.Naona watu siku hizi magari haya ya nissani extrail wananunua sana je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu
Ndugu nissan xtrail haina shida hata kidogo...hii gari inahitaji kufuata masharti yake elekezi....hii gari inatumia oil ya nissan extrail tu...hivyo watu wengi wanapofanya service huwa wanatumia oil ambayo not recommended kwa xtrail...but mtu ukitumia oil yake utaifurahia sana hii gari....ni gari nzuri....ni gari ya safar..tatizo letu watanzania tunapenda kufanya maamuzi kwa kutumia maneno matupu ya watu.....changamoto ninayoiona kwa extrail ni bei ghari ya vipuli....but vipuli vyake ni imara na original na hudumu muda mrefu
Kibongo bongo sababu tunapenda kuunga unga Xtrail tunaona hazitufai. Maana haina kufoji sasa sisi tushazoea shortcut. Mimi ninayo kwa mda mrefu sasa ukweli inataka ufwate masharti ya service na ikiharibika usitafute shortcut jipinde tu. Spare zake siku hizi ni cheap.
Hakuna gari mbovu! Gari ni jinsi unavyoitumia na kufanya service, sasa kama unaendesha tu gari bila service gari unafikiri litadumu?
Kuana jamaa yangu aliuza kwa nusu bei baada ya kulitumia kwa miezi sita tu... Anasema ni shida hana hamu sikumdadisi zaidi