Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Nissan X-Trail ni Gari ya mawazo, INA sensor nyingi na zinakufa Vila utaratibu, na zikifa kuzipata being yako utalipaki tu. Pia spare zake ni aghali na hazipatikani kiurahisi kama Toyota. Mambo yote ni Toyota, unanunua unasahau cha kuzingatia ni service yenye quality tu.
 
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
x-trail ukinunua jiandae na waya za kufunga bodi linapochoka.
 
Nimekuwa najiuliza kwanini hizi gari ukiingia KUPATANA zinauzwa bei chee. Yaani gari zina namba DG, au DJ lakini inauzwa 10mil or even less. Pengene owners wameshaona tatizo la haya magari kwa muda mchache waliokuwa nayo.
 
nissan zinahitaji discipline ya matumizi sana....hii ikijumuisha uendeshaje wako na mengineyo...ikiwemo na spea..! nina nissan note, ila service yake nia shughuli....gear box oil..NS2 ni laki tatu na upuuuzi....heheeeee
Ndiyo maana kuna mtu kasema ni gari ya wenye pesa kama pesa yako ni yakuokoteza nunua Toyota.
 
Binafsi hata mm nimeziona nissan extrail nyingi zipo juu ya mawe. Pia body yake ipo kama yale ma prado ya zaman. Body Ikichoka tuu inaanza kufungwa na nyaya mara gari linaanza kupiga kelele ndo bas tena
 
kwa wote wenye Nissan X-Trail usipotoshwe na wasioelewa ubora au ustadi wa hizi gari. Mimi niko hapa kurahisisha kumiliki kwako X-Trail kw kukupa ufundi, vipuri na huduma mwafaka kw gari hii ya kisasa.

wasiliane nami kw mengi, PM/inbox
 
Ata consumption ya mafuta ni kawaida tu utegemea na mizunguko yko
 
Nunua Subaru Forester ya 2007 mkuu. Utapata advantage kubwa kwenye kodi kwasababu kodi ya 2006 ni kubwa kuzidi ya 2007
 
Mwaka tu mkuu unajiaminisha kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…