Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Nissan X-Trail ni Gari ya mawazo, INA sensor nyingi na zinakufa Vila utaratibu, na zikifa kuzipata being yako utalipaki tu. Pia spare zake ni aghali na hazipatikani kiurahisi kama Toyota. Mambo yote ni Toyota, unanunua unasahau cha kuzingatia ni service yenye quality tu.
 
Nissan X-Trail ni Gari ya mawazo, INA sensor nyingi na zinakufa Vila utaratibu, na zikifa kuzipata being yako utalipaki tu. Pia spare zake ni aghali na hazipatikani kiurahisi kama Toyota. Mambo yote ni Toyota, unanunua unasahau cha kuzingatia ni service yenye quality tu.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
x-trail ukinunua jiandae na waya za kufunga bodi linapochoka.
 
Nimekuwa najiuliza kwanini hizi gari ukiingia KUPATANA zinauzwa bei chee. Yaani gari zina namba DG, au DJ lakini inauzwa 10mil or even less. Pengene owners wameshaona tatizo la haya magari kwa muda mchache waliokuwa nayo.
 
nissan zinahitaji discipline ya matumizi sana....hii ikijumuisha uendeshaje wako na mengineyo...ikiwemo na spea..! nina nissan note, ila service yake nia shughuli....gear box oil..NS2 ni laki tatu na upuuuzi....heheeeee
Ndiyo maana kuna mtu kasema ni gari ya wenye pesa kama pesa yako ni yakuokoteza nunua Toyota.
 
Binafsi hata mm nimeziona nissan extrail nyingi zipo juu ya mawe. Pia body yake ipo kama yale ma prado ya zaman. Body Ikichoka tuu inaanza kufungwa na nyaya mara gari linaanza kupiga kelele ndo bas tena
 
kwa wote wenye Nissan X-Trail usipotoshwe na wasioelewa ubora au ustadi wa hizi gari. Mimi niko hapa kurahisisha kumiliki kwako X-Trail kw kukupa ufundi, vipuri na huduma mwafaka kw gari hii ya kisasa.

wasiliane nami kw mengi, PM/inbox
 
mnao ponda nissan wote mm siungani na nyinyi tatizo lenu wabongo tumezoea vya kunyonga ndio maana.na wote hapo juu wanao ponda wameegemea kwenye vyakunyonga .sasa kwa wale walio zoea vya kuchinja kamata nissan huto juta kwanza ni gari ngumu sana.spare zake ni OG na.inadum zaidi kama utafuata taratibu za servive.
Ata consumption ya mafuta ni kawaida tu utegemea na mizunguko yko
 
Nunua Subaru Forester ya 2007 mkuu. Utapata advantage kubwa kwenye kodi kwasababu kodi ya 2006 ni kubwa kuzidi ya 2007
 
Mnaoponda kuhusu Nissan X trail mmezoea vya kunyonga, Nissan X trail ni gari nzuri sana mimi ninayo nina mwaka toka niinunue, hizi gari zinahitaji matunzo tuu utaifurahia, spare zake nyingi ni ghali kidogo lakini ni original na ukiifunga ni mkataba hakuna spare fake. Tatizo lolote linalojitokeza kwenye hizi gari hasa katika mfumo wa engine lazima computer ihusike kujua tatizo sio ulete fundi aanze kubahatisha tatizo la engine ni computer tuu ndo itatoa majibu sahihi. Kiujumla Nissan haitaji longolongo katika service na matengenezo so mtoa post chukua hiyo gari usiogope maneno ya waliozoea vya kunyonga.
Mwaka tu mkuu unajiaminisha kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom