Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kutunza Harrier kuna kushinda basi achana na kukimbilia kununua gari.Sio kweli kuna rafiki zangu 3 wote wana hizo hari na zinawatesa, waliagiza moja kwa moja japani, hakuna formula kua gari fulani ni nzuri/gari ile ni mbaya, sensor za harrier bei yake ipo juu kama gari nyingine tu, mimi namiliki nissan xtrail, jinsi ilivyonitendea haki nina mpango wa kuagiza new model nissan xtrail ni gari nzuri unless umeuziwa magumashi ambapo ni kawaida kwa gari yyte ukiingia/ukibambikiwa
Namaanisha spea zake ni gharama kubwa kuzipataUmeongea vyema ila aya ya mwisho umeharibu..
Sina hakika kama akitaka kuagiza spea anakopa pesa..[emoji848][emoji848]
Hoja hujbiwa kwa hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kutunza Harrier kuna kushinda basi achana na kukimbilia kununua gari.
Rudi kwenye bajaj au pikipiki.
Hakuna gari nyepesi kuitunza kama Harrier, kuanzia ulaji wa mafuta, spares na maintanance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Harrier nayo ni gari au ni mkebe wa kuuzia sura? Ungesema Rav 4 au Kluger ana VanGuard ningekuelewa.
SureHakuna gali hapo ni takataka kabisa extrail ni ujinga ujinga tu
Majority ya gari za nissan zinasumbua , Angalia Navara saa hii ziko wapi halafu linaganisha na hilux, ya mwaka sawa na hiyo Navara , jiulize hata serikalini Nissan patrol hazitumiki sana ukilinganisha na land cruiser ?Hakuna kampuni inayotengeneza gari isiyofaa na ikaendelea kuuza miaka yote.
Changamoto unayokutana nayo wewe sio wote.
Toyota nyingi zinakaa sana , labda kama gari lipate ajali ndo litakuzingua ,
Majority ya gari za nissan zinasumbua , Angalia Navara saa hii ziko wapi halafu linaganisha na hilux, ya mwaka sawa na hiyo Navara , jiulize hata serikalini Nissan patrol hazitumiki sana ukilinganisha na land cruiser ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss nisaidie namba ya huyo fundi, maana na mimi nina suzuki yangu ina shida hiyo hiyo yaniiHapo BIAFRA hao mafundi wanastahili TUZO aisee mm maji ya rejeta yanaisha haraka yaani ukitoka hom mwenge kufika posta mjini hamna maji. nikapeleka kwa makanjanja mwenge chini ya mwembe/karibu na tamal hotel full sanaa wanakula pesa gari haiponi, nilienda kuchukua RB nikamuweka ndani kisha nikaenda pale biafra jamaa katumia 30 mins. shida kwisha. *****.... Biafra noma...
We rafiki yako anatumia mimi ninayo hapa nimeagiza Nagoya Japan mwaka Jana nimeshafanya service mara mbili huo ndio ukweli huwezi fananisha hiyo Nissan yako na Toyota Harrier spea zimejaa kariakoo gerezani na Machinga Karume we mpaka ukope pesa uagize spea Nairobi au DubaiView attachment 1445003
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya tisini Nissan Patrol ilikuwa inapimwa uzani mmoja na landcruiser , hata serikali ilikuwa inanunua katika ratio zinazokaribiana. Siku hizi Landcruiser ndio inatamba.Mmh kwenye Nissan Patrol, naweza kukataa kidogo. Hazisumbui kabisa hizi gari. Naongelea experience.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaezekana unatumia nguvu na pesa nyingi sana kuitunza hiyo x trail., Tunaposema gari flani ni mbovu sio kwamba hazitengenezeki , Bali Kuna kiwango flani kikipita kwa ajili ya maintenance ,gari inakuwa declared Kama Ni sumbufu.Mbona mimi natumia X trail 2010 na haina shida mpaka sasa, nadhani ni utunzaji wako binafsi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app