Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Ukisikiliza sana Watanzania hutanunua hata baiskeli...

Ninashindwa kuelewa kabisa watu wanaegemea wapi...
Umezungumza mengi , Ila sidhaninkama umewahi kumiliki gari mbovu ujue inavyotesa . Nafahamu Mitsubishi walikua na RvR( kitchen party) na mini Pajero , kwa yeyote aliyewahi kumiliki hizo gari atakuja kueleza mateso yake,

Bahati mbaya sisi tunanunua used, kwa hiyo tunakua hatuna choice, Ila Kuna magari hata huko japan yana sifa mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezungumza mengi , Ila sidhaninkama umewahi kumiliki gari mbovu ujue inavyotesa . Nafahamu Mitsubishi walikua na RvR( kitchen party) na mini Pajero , kwa yeyote aliyewahi kumiliki hizo gari atakuja kueleza mateso yake,

Bahati mbaya sisi tunanunua used , kwa hiyo tunakua hatuna choice , Ila Kuna magari hata huko japan yana sifa mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe wala sipingi...
Ila mateso ya gari anayoyapata mtanzania hayafanani na anayoyapata mjapani..

Mtanzania mateso mengi anajitakia kwa kufanya service duni, kuweka vipuri ambvyo si genuine na kulipa gari kazi ambazo si zake...kwa mfano gari kama passo kulipeleka milimani huko upareni au Lushoto ni kulitesa...si sehemu zake...

Wenzetu wana kipato cha kutosha...ana gari la kwendea milimani, gari la mjini na gari la familia..

Mtz akiwa na passo hiyo hiyo ndiyo ya mjini, shambani, milimani, hiyo hiyo ndiyo pick up...lazima ikusumbue na ikutese kwa sababu na wewe unaitesa..

Swala lingine, huko kwa wenzetu ubovu wa gari wanalenga common issues kwa mfano watakuambia gari flani huwa zina shida ya gearbox, gari flani huwa zina shida ya mfumo wa upoozaji, gari flani huwa zina shida ya mifumo ya brake na kadhalika....

Kinyume na hapa kwetu Tanzania ukimuuliza mtu common problem ya X trail atakujibu spea ni ghali na haliuziki....jibu hili linaegemea kwenye umasikini wetu..

Mwisho.....mtu yoyoye kama kipato ni cha kuunga unga akae mbali na Nissan ya aina yoyoye, Subaru, Mazda, Honda na European cars.....baki huko kwenye toyota...tena toyota zenyewe nyingi za kuanzia 2005 umeme mwiingi mafundi wanaziogopa....Rejea injini za D4

Uchumi duni wa mfuko wa mtu asilazimishe kuuaminisha umma kuwa hayo magari ni mabaya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe wala sipingi...
Ila mateso ya gari anayoyapata mtanzania hayafanani na anayoyapata mjapani..

Mtanzania mateso mengi anajitakia kwa kufanya service duni, kuweka vipuri ambvyo si genuine na kulipa gari kazi ambazo si zake...kwa mfano gari kama passo kulipeleka milimani huko upareni au Lushoto ni kulitesa...si sehemu zake..
Nimekuelewa Sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We rafiki yako anatumia mimi ninayo hapa nimeagiza Nagoya Japan mwaka Jana nimeshafanya service mara mbili huo ndio ukweli huwezi fananisha hiyo Nissan yako na Toyota Harrier spea zimejaa kariakoo gerezani na Machinga Karume we mpaka ukope pesa uagize spea Nairobi au DubaiView attachment 1445003

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama una uwezo wa kumiliki gari, naamini una hela za kutosha kabisa kununua simu yenye akili. Ombi langu ni kwamba achana na itel zinasumbuaga sana.
Natanguliza shukrani.
 
Mkuu kama una uwezo wa kumiliki gari, naamini una hela za kutosha kabisa kununua simu yenye akili. Ombi langu ni kwamba achana na itel zinasumbuaga sana.
Natanguliza shukrani.
I think using an itel, Samsung,tecno,infinix or iPhone is just the matter of standards..... everything remains the same..

If you are using itel, tecno, Samsung, iphon to call your mom, your mom remains the same, she will never change according to the kind of phone you Are using and the most important, the message remains the same.

Just the matter of standards..
Remember the matter of standards..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni mazuri machoni lakini spea zake gharama sana, likikuzigua lazima ulisuse gereji mimi nimenunua TOYOTA Rav 4 toka 2007 haijawahi kunizingua na kuanzia hapo sijawahi kupanda daladala tena mi ni mwendo wa kiyoyozi unless ukute naenda msalani
we ndo umeua kabisa! mimi family imeongezeka natafuta familyy car nimechungulia mtandaoni nimeikuta xtrail Rider Stage 2 ya mwaka 2007. ushauri ndugu zangu.


xtrail2.jpg
xtrail2007.jpg
 
Nakubaliana na wewe wala sipingi...
Ila mateso ya gari anayoyapata mtanzania hayafanani na anayoyapata mjapani..

Mtanzania mateso mengi anajitakia kwa kufanya service duni, kuweka vipuri ambvyo si genuine na kulipa gari kazi ambazo si zake...kwa mfano gari kama passo kulipeleka milimani huko upareni au Lushoto ni kulitesa...si sehemu zake...
Sawa numekusoma. Nakaa Mbali na NISSAN
 
Sisi watumiaji wa magari ya Nissan tunawashangaa mnavoyapayukia.Tunachokijua ni kwamba ile kauli mbiu ya Sizitaki mbichi hizi ndiyo inayofanya kazi kwa walio wengi.

Lakini ukitaka kujua ukweli kama ni mazuri au lah,nendeni mtembelee katika gereji nyingi na mfanye utafiti wa kuona ni gari za kampuni gani nyingi zinazoozeozeana humo gereji.

Hesabu Toyota ziko ngapi, Mitsubishi ziko ngapi, Nissan ziko ngapi na endelea hivo kuangalia na magari ya kampuni zingine. Mwisho wa ubishi.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
I think using an itel, Samsung,tecno,infinix or iPhone is just the matter of standards..... everything remains the same..

If you are using itel, tecno, Samsung, iphon to call your mom, your mom remains the same, she will never change according to the kind of phone you Are using....and the most important, the message remains the same..

Just the matter of standards..
Remember the matter of standards..
Sent using Jamii Forums mobile app
Just hope! what about quality aspects of a product?
 
Just hope!what about quality aspects of a product?
[emoji3][emoji3]quality aspect is something else.

Let's keep an eye on the basic purposes of mobile phones.

Anyway, nilikuwa nataka ku challenge tu kuwa watu wanatofautiana vipaumbele.

Kwa mfano kuna mtu anaweza kupanga room moja uswahilini, hana wazo la kujenga wa kiwanja lakini anapush maLexus..[emoji12]
 
In two years, itakuwa common kama x trail kitu ambacho ni jambo zuri coz spea zitakuwa za kumwaga...

Spea nyingi sana inavaliana na xtrail...ndiyo raha ya magari ya Japan. Spea zinavaliana model tofauti tofauti..[emoji39][emoji39].
Kuna toleo naona linashika sana kasi Nissani Duals , wajuvi njooni tuichambue hii mashine hasa spea na sevc kwa ujumla
 
Back
Top Bottom