Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mwaka tu mkuu unajiaminisha kiasi hicho?
angalia hii post yangu nilipost last year july 7 sasa ina miaka 2 na unusu, juzi nimetoka nayo arusha meru huko ndani ndani kwa joshua nassari njia ni off road na milima mikali lakini nimerudi zangu dar yaani mashine ipo vizuri utadhani nimeinunua leo.

Bado nashauri Nissan x-trail ni bonge la ndinga.
 
Sikuangalia tarehe mkuu.

Vema basi mkuu, hongera kwa kuitunza gari yako.
 
Hizi gar ni majanga ipo moja ya jamaa yangu kaipaki ana lalamika spea tabu,
Spear tabu!! Au yeye ndio hana pesa acheni kuchanganya mambo hapa ufukara wake asisingizie spea tabu wakati yeye ndiye hana pesa za kununua spea genuine.
 

Excellent evidence on the clip.
 
Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.

Je wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
Tatizo lako maelezo uliyotoa hayajitoshelezi kabisa. Kama umeamua kuandika kitu ili watu wapate faida, ni bora ukaandika kwa mapana na marefu ili tusome uzi wenye nyama na tujiridhishe na kile unachokiongea.

Sipingani na hoja yako lakini ulichoandika hakitoshi kutufundisha sisi tusiojua ubovu wa hayo magari. Ulipaswa kutiririka na kufunguka vizuri na kutueleza kwa undani zaidi. Baada ya hapo ungetuambia ni aina gani ya magari yanafaa zaidi. Kwa kufanya hivyo ungekuwa umewapa wengi somo zuri zaidi.
 
We huzijui hizi gari wala hujui jinsi ya kuitunzam
Nimetumia hii gari kwa miaka 6 (NT30) na kutembea nayo km165,000 katika kipindi hicho.
Hiyo gari ni tamu....nimeshapita nayo mahali kibao landcruiser vx zimenasa
Labda unaongelea Mahindra Vx na sio Toyota Vx.
 
Watajeni humu wataalamu wa nissan ili team nissan tufaidi Mshana Jr
 
Ulisha wahi kumiliki hii gari ?
Ndio. Nilinunua 2010 nimebadilisha injini x 3 na ubovu wa sensor gharama za kuimaintain ni kubwa Sana Nimeipak ndani haiuziki. nimerudi kwenye Toyota Belta Wese, spea very cheap. Asanteni TOYOTA
 
X Trail unaihudumia kama Starlet kwa nini isikuzingue..??

Mbona watu wanadunda nazo miaka zaidi ya 8 barabarani. ?
Ndio. Nilinunua 2010 nimebadilisha injini x 3 na ubovu wa sensor gharama za kuimaintain ni kubwa Sana Nimeipak ndani haiuziki. nimerudi kwenye Toyota Belta Wese, spea very cheap. Asanteni TOYOTA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota harrier nzuri zaidi ni za injini ya umeme VVti hazili sana mafuta kwa ujumla spea za harrier zote zipo kibao na cheap

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kuna rafiki zangu 3 wote wana hizo hari na zinawatesa, waliagiza moja kwa moja japani, hakuna formula kua gari fulani ni nzuri/gari ile ni mbaya.

Sensor za harrier bei yake ipo juu kama gari nyingine tu, mimi namiliki nissan xtrail, jinsi ilivyonitendea haki nina mpango wa kuagiza new model nissan xtrail ni gari nzuri unless umeuziwa magumashi ambapo ni kawaida kwa gari yyte ukiingia/ukibambikiwa
 
We rafiki yako anatumia mimi ninayo hapa nimeagiza Nagoya Japan mwaka Jana nimeshafanya service mara mbili huo ndio ukweli huwezi fananisha hiyo Nissan yako na Toyota Harrier spea zimejaa kariakoo gerezani na Machinga Karume we mpaka ukope pesa uagize spea Nairobi au Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vyema ila aya ya mwisho umeharibu..

Sina hakika kama akitaka kuagiza spea anakopa pesa..[emoji848][emoji848]
Hoja hujbiwa kwa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…