franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,406
- 1,475
Nissan kwa ujumla Kama Una hela za mawazo achana nayoWakuu salama?! Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya "Nissan Dualis" kwanza ulaji wa mafuta, vipuri vyake, kadhalika stability yake barabarani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezungumza mengi , Ila sidhaninkama umewahi kumiliki gari mbovu ujue inavyotesa . Nafahamu Mitsubishi walikua na RvR( kitchen party) na mini Pajero , kwa yeyote aliyewahi kumiliki hizo gari atakuja kueleza mateso yake,Ukisikiliza sana Watanzania hutanunua hata baiskeli...
Ninashindwa kuelewa kabisa watu wanaegemea wapi...
...zina didindisha?
...zina didindisha?
Nakubaliana na wewe wala sipingi...Umezungumza mengi , Ila sidhaninkama umewahi kumiliki gari mbovu ujue inavyotesa . Nafahamu Mitsubishi walikua na RvR( kitchen party) na mini Pajero , kwa yeyote aliyewahi kumiliki hizo gari atakuja kueleza mateso yake,
Bahati mbaya sisi tunanunua used , kwa hiyo tunakua hatuna choice , Ila Kuna magari hata huko japan yana sifa mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa Sana mkuuNakubaliana na wewe wala sipingi...
Ila mateso ya gari anayoyapata mtanzania hayafanani na anayoyapata mjapani..
Mtanzania mateso mengi anajitakia kwa kufanya service duni, kuweka vipuri ambvyo si genuine na kulipa gari kazi ambazo si zake...kwa mfano gari kama passo kulipeleka milimani huko upareni au Lushoto ni kulitesa...si sehemu zake..
Mkuu kama una uwezo wa kumiliki gari, naamini una hela za kutosha kabisa kununua simu yenye akili. Ombi langu ni kwamba achana na itel zinasumbuaga sana.We rafiki yako anatumia mimi ninayo hapa nimeagiza Nagoya Japan mwaka Jana nimeshafanya service mara mbili huo ndio ukweli huwezi fananisha hiyo Nissan yako na Toyota Harrier spea zimejaa kariakoo gerezani na Machinga Karume we mpaka ukope pesa uagize spea Nairobi au DubaiView attachment 1445003
Sent using Jamii Forums mobile app
I think using an itel, Samsung,tecno,infinix or iPhone is just the matter of standards..... everything remains the same..Mkuu kama una uwezo wa kumiliki gari, naamini una hela za kutosha kabisa kununua simu yenye akili. Ombi langu ni kwamba achana na itel zinasumbuaga sana.
Natanguliza shukrani.
Kipaumbele changu sio simu za gharama nina Itel na X-TIGI ya tochi.Mkuu kama una uwezo wa kumiliki gari, naamini una hela za kutosha kabisa kununua simu yenye akili. Ombi langu ni kwamba achana na itel zinasumbuaga sana.
Natanguliza shukrani.
Hizo ulizotaja zina utofauti upi na Harrier?Harrier nayo ni gari au ni mkebe wa kuuzia sura? Ungesema Rav 4 au Kluger ana VanGuard ningekuelewa.
we ndo umeua kabisa! mimi family imeongezeka natafuta familyy car nimechungulia mtandaoni nimeikuta xtrail Rider Stage 2 ya mwaka 2007. ushauri ndugu zangu.ni mazuri machoni lakini spea zake gharama sana, likikuzigua lazima ulisuse gereji mimi nimenunua TOYOTA Rav 4 toka 2007 haijawahi kunizingua na kuanzia hapo sijawahi kupanda daladala tena mi ni mwendo wa kiyoyozi unless ukute naenda msalani
Mkuu post zote hizo mpaka kufikia hii yako ni ya 511 bado tu unahitaji ushauri? Au unahitaji ushauri wa aina gani?we ndo umeua kabisa! mimi family imeongezeka natafuta familyy car nimechungulia mtandaoni nimeikuta xtrail Rider Stage 2 ya mwaka 2007. ushauri ndugu zangu
Sawa numekusoma. Nakaa Mbali na NISSANNakubaliana na wewe wala sipingi...
Ila mateso ya gari anayoyapata mtanzania hayafanani na anayoyapata mjapani..
Mtanzania mateso mengi anajitakia kwa kufanya service duni, kuweka vipuri ambvyo si genuine na kulipa gari kazi ambazo si zake...kwa mfano gari kama passo kulipeleka milimani huko upareni au Lushoto ni kulitesa...si sehemu zake...
Just hope! what about quality aspects of a product?I think using an itel, Samsung,tecno,infinix or iPhone is just the matter of standards..... everything remains the same..
If you are using itel, tecno, Samsung, iphon to call your mom, your mom remains the same, she will never change according to the kind of phone you Are using....and the most important, the message remains the same..
Just the matter of standards..
Remember the matter of standards..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]quality aspect is something else.Just hope!what about quality aspects of a product?
Kuna toleo naona linashika sana kasi Nissani Duals , wajuvi njooni tuichambue hii mashine hasa spea na sevc kwa ujumla