Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
Klugger ni mnyama chukua hutajuta
Mkuu Ile reply Yangu nimeongea Kwa ujumla hasa hapa jukwaani. Pia haina uhusiano na comment yako Ndugu Yangu.Umetumia maneno mabaya kwenye reply yako mimi nimeshamiliki Nissan zifuatazo
Nissan Serena engine zake zinaigiliana na Xtrail ugonjwa wake unafanana...
..To my advice kutokana na uzoefu wangu kwenye sector ya magari nakushauri ukiweza badili gari..hizi gari si rafiki sana linapokuja suala la spare, durability na zina shida ya AC pamoja na gearbox baada ua muda
APPROVEDWakuu Gari (pichani)nimetokea kuipenda Nina 10,000USD nataka kuagiza mwenye uzoefu nayo tafadhali
X-trail shipa eeh?To my advice kutokana na uzoefu wangu kwenye sector ya magari nakushauri ukiweza badili gari..hizi gari si rafiki sana linapokuja suala la spare, durability na zina shida ya AC pamoja na gearbox baada ua muda
Gari hizi utazikuta gereji kwa wingiWakuu Gari (pichani)nimetokea kuipenda Nina 10,000USD nataka kuagiza mwenye uzoefu nayo tafadhaliView attachment 1537462
Kabla haijazingua..ikizingua tu maumivu huanzia hapoX-trail shipa eeh?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu Ile reply Yangu nimeongea Kwa ujumla hasa hapa jukwaani....
Pia haina uhusiano na comment yako Ndugu Yangu.
Ati?Very correct
RAV4 (5 doors) bila 20m Tshs hujaiendeshaNimechek Bei zinapishana kidogo Sana. Bora ujipange uchukue Rav 4 badala ya ujinga wa X-trail
Chukua BMW X3 ndio imekaa kiumeRAV4 (5 doors) bila 20m Tshs hujaiendesha
Aagize na diary ya kuandika namba za mafundiAgiza Xtrail chief
Xtrail inaonekana kizunguzunguX-trail my bebii
Bora kujilipua RAV4 LKabla haijazingua..ikizingua tu maumivu huanzia hapo