Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Mtanzania mpaka akikubali jitu Basi ujue dunia nzima kitakubalikaWatanzania ni wajuwaji tu lakini hamna kitu..
Tatizo watanzania si watunzani na ni wavivu wa kufikiri
Haya maxtrail mnayosema ni mabovu mbona wapo watu wamekaa nayo karibu miaka kumi sasa...
Kuna mtu hapa ana namba BAK na linapiga kazi freshi tu..
Mimi ninayo Extrail, mwaka wa nne huu ipo poa kabisa ila baada ya kuijulia. Bahati mbaya sikuinunua mpya bali niliuziwa na wachina fulani wajanja! Nilipoichukua kwa miezi miwili au mitatu ilikuwa poa, baadae ikaanza kuchemsha nikawa sielewi why maana kila kila kitu kipo poa. Baada ya kuhangaika muda kidogo, Fundi wangu akagundua kwamba wachina walichange rejeta, wakatoa yake wakaweka ya gari dogo hivi kama baloon! Basi nikaenda Ilala nikapata rejeta nikaifix, tangu wakati huo (mwaka wa nne huu) haijawahi kuchemsha hata kidogo.mkuu ushawah pata shida ya nissan xtrail kuchemsha?
Imekaa kike sanaKuna toleo naona linashika sana kasi Nissani Duals , wajuvi njooni tuichambue hii mashine hasa spea na sevc kwa ujumla
Nimekusoma kiongoziMimi ninayo Extrail, mwaka wa nne huu ipo poa kabisa ila baada ya kuijulia. Bahati mbaya sikuinunua mpya bali niliuziwa na wachina fulani wajanja! Nilipoichukua kwa miezi miwili au mitatu ilikuwa poa, baadae ikaanza kuchemsha nikawa sielewi why maana kila kila kitu kipo poa. Baada ya kuhangaika muda kidogo, Fundi wangu akagundua kwamba wachina walichange rejeta, wakatoa yake wakaweka ya gari dogo hivi kama baloon! Basi nikaenda Ilala nikapata rejeta nikaifix, tangu wakati huo (mwaka wa nne huu) haijawahi kuchemsha hata kidogo.
Kitu muhimu ni kuwa na discipline ya service inayoendana na kutumia recommended oil. Ukiweka oil hizi za vibaba umeliwa. Pia ina sensors nyingi, niliwahi kusumbuliwa na Gearbox Sensor, gari ilawa inasumbua kuchange gear, ila baada ya kuweka mpya, sijawahi, kupata usumbufu wowote.
Nissan Extrail, ni gari gumu na very stable barabarani hata kwenye njia zetu za uswahilini. Kwa walio na bajeti ambayo si kubwa sana ila wanataka gari imara, go for Nissan Extail!
Yes, nimekutana nazo namba B kibao zikiwa katika hali nzuriWatanzania ni wajuwaji tu lakini hamna kitu..
Tatizo watanzania si watunzani na ni wavivu wa kufikiri
Haya maxtrail mnayosema ni mabovu mbona wapo watu wamekaa nayo karibu miaka kumi sasa...
Kuna mtu hapa ana namba BAK na linapiga kazi freshi tu..
Gari matunzoSo zinaharibika zikiwa bongo huko Japan engine haipati "joto Sana"?
Gari makini kwa wanyongeNayo ipo poa zaidi engine yake ni konki qr25 nahisi,hao wanaosema xtrail ni mbovu sijui kama wanazifaham vizuri
Asante BabaNayo ipo poa zaidi engine yake ni konki qr25 nahisi,hao wanaosema xtrail ni mbovu sijui kama wanazifaham vizuri
Kama vitu gan?Mkuu sijatisha watu lakin ni ukwel usiopingika kuwa kuna vitu ukikosea tu xtrail inachemsha hapohapo ndo maana nikaomba kupata uzoefu
Durability utajiongeza huwezi kupewa vyote!Durability????
Naona umeongea kitheory zaidi. Ni vema unapotoa ushuhuda then uwe specific na open detailed.Mimi ninayo Extrail, mwaka wa nne huu ipo poa kabisa ila baada ya kuijulia. Bahati mbaya sikuinunua mpya bali niliuziwa na wachina fulani wajanja! Nilipoichukua kwa miezi miwili au mitatu ilikuwa poa, baadae ikaanza kuchemsha nikawa sielewi why maana kila kila kitu kipo poa. Baada ya kuhangaika muda kidogo, Fundi wangu akagundua kwamba wachina walichange rejeta, wakatoa yake wakaweka ya gari dogo hivi kama baloon! Basi nikaenda Ilala nikapata rejeta nikaifix, tangu wakati huo (mwaka wa nne huu) haijawahi kuchemsha hata kidogo.
Kitu muhimu ni kuwa na discipline ya service inayoendana na kutumia recommended oil. Ukiweka oil hizi za vibaba umeliwa. Pia ina sensors nyingi, niliwahi kusumbuliwa na Gearbox Sensor, gari ilawa inasumbua kuchange gear, ila baada ya kuweka mpya, sijawahi, kupata usumbufu wowote.
Nissan Extrail, ni gari gumu na very stable barabarani hata kwenye njia zetu za uswahilini. Kwa walio na bajeti ambayo si kubwa sana ila wanataka gari imara, go for Nissan Extail!
Mnyonge anaweza kununuwa spare za Nissan?Gari makini kwa wanyonge
Kitolewe kwa sababu zipi? Elezea.Kwa msio jua hicho kifaa kinaitwa thermostat ambacho mafundi wengi husema kitolewe basi nawawekea hapa mkione chenyewe na kikiwa ndani ya jumba lake..... View attachment 1663587View attachment 1663588View attachment 1663589View attachment 1663590View attachment 1663591View attachment 1663592
Safi kabisa kijana. Najivunia kama mwalimu wako nilichokufundisha umekisema sawia kabisa kumaanisha ulinielewa darasani. Safi kabisa....... Umesema sahihi kabisa....Magari yote ya CVT ni shida kwa sababu watu wengi hawana elimu sahihi ya utunzaji wa CVT.
CVT haitaki ujanja ujanja wa fluid....Lazima uweke iliyokuwa recommended.
Pili, hakikisha unatumia coolant genuine kwa gari za cvt....ukitumia maji ya bomba CVT fluid inapata moto sana kuliko joto lililotarajiwa....hapo utaua gear box yako mapema..CVT fluid inatakiwa ifanye kazi ikiwa na joto la angalau 80°C mpaka 90°C hivi likizidi sana fluid inaharibika.....Kumbuka magari mengi ya CVT mfumo wa upoozaji unafanya kazi mara mbili, kupooza engine na kupooza gearbox
Kwa sasa matumizi ya cvt hatukwepi, brands nyingi wanahamia huko kwa sababu Production ya CVT ni gharama nafuu kuliko ordinary automatic gearbox, pili cvt inafanya gari liwe na matumizi mazuri zaidi ya mafuta na smooth riding...
Ukifuatilia kwa sasa Nissan , Subaru, Mitsubish ni vinara wa cvt, Toyota nao wanakuja kwa kasi...
Tujiandae na mabadiliko hayo..
Yaani haujawahi kutana na mafundi wakiona gari yako inazingua wanakwambia utoe thermostat inaleta shida....?!Kitolewe kwa sababu zipi? Elezea.
Huyo jamaa yako ametafuta spare gani ikakosa? Mimi nimekaa na Nissan Extrail mwaka huu wa tano, tena niliinunua kwa mtu, ila haijawahi kusumbua. Spaire zake zipo nyingi sana, ukitaka za mtumba au za dukani zote zipo.Hizi gar ni majanga ipo moja ya jamaa yangu kaipaki ana lalamika spea tabu,
Giabox oil inaitwa Matic, imendikwa kwenye oil stick. Ila Matic zipo za ina tofauti inabidi pia uwe specific.There is a special oil for nissan xtrail....sikumbuki jina lake but mafundi wa nissan xtrail wanazijua....