Kama unataka engine Oil ya Nissan Extail ambayo haitasumbubua, tafuta Castrol GTX 20W-50. Bei yake ni around 50,000/- kwa litre 5(Unatembea 3000 km before the next service) Kwa Gear box angalia kwenye oil stick imeandikwa matic, ila unaweza kununua nyingine inaitwa Atlantic (ipo kwenye kidebe cha bati) bei yake ni kuanzia shs 75,000-80,000 kwa litre 4 (unatembea 9000 km before the next service).Naona umeongea kitheory zaidi. Ni vema unapotoa ushuhuda then uwe specific na open detailed.
Sasa unaposema oil za vibaba ndio kitu gani?!
Unaposema oil nzuri ndio zipi hizo?!
Hadi gari linaanza tabia ya kuchemsha kwann unazembea?!Hii gari ikichemsha incase umesahau kutia maji kwenye rejeta au inavuja ujue itaua piston blocks...hapo unakua huna namna zaidi ya kubadili Engine...ishanitia hasara ya Engine sina ham nayo...mafundi waliniambia Engine zake ni Alminium...
Mimi sina gari wala bajaji, lakini nataka unipe maelezo ni kwa nini utowe thermostat, je hujawahi kuwauliza hao mafundi sababu?Yaani haujawahi kutana na mafundi wakiona gari yako inazingua wanakwambia utoe thermostat inaleta shida....?!
Bei ya SUV bila kuwepo kw a X-trail ingekua ngumuMnyonge anaweza kununuwa spare za Nissan?
Acheni kupotosha watu.
Wanyonge mixer uchumi wa kati.Mnyonge anaweza kununuwa spare za Nissan?
Acheni kupotosha watu.
Kweli kabisa maana xtrail kuagiza from japan inaanzia 12.5M so naweza sema xtrail ni SUV ya bei rahis kuliko zote [emoji592]Bei ya SUV bila kuwepo kw a X-trail ingekua ngumu
Thermostat kazi yake ni kuratibu kiwango cha joto kwenye engine. Thermostat inachofanya ni kuzuia coolant au maji yasiingie katika engine hadi pale kiwango stahiki cha joto kikifikiwa na kuendelea kupanda kwenda juu then thermostat huruhusu coolant au maji kutoka kwenye engine kwenda haraka katika Radiator(Rejeta) kupozwa na kurejea katika engine hadi pale joto litakapokuwa standard....Mimi sina gari wala bajaji, lakini nataka unipe maelezo ni kwa nini utowe thermostat, je hujawahi kuwauliza hao mafundi sababu?
Mkuu 20w50 kwa Nissan Xtrail..?Kama unataka engine Oil ya Nissan Extail ambayo haitasumbubua, tafuta Castrol GTX 20W-50. Bei yake ni around 50,000/- kwa litre 5(Unatembea 3000 km before the next service) Kwa Gear box angalia kwenye oil stick imeandikwa matic, ila unaweza kununua nyingine inaitwa Atlantic (ipo kwenye kidebe cha bati) bei yake ni kuanzia shs 75,000-80,000 kwa litre 4 (unatembea 9000 km before the next service).
Na hao ndio mafundi gonga nyundo,wanaharibu magari sana.Yaani haujawahi kutana na mafundi wakiona gari yako inazingua wanakwambia utoe thermostat inaleta shida....?!
Fundi anashauri 15w-40Mkuu 20w50 kwa Nissan Xtrail..?
Seriously..?
Nissan Xtrail kama injini haijachoshwa recommend SAE VISCOSITY ni 5w30 au 10w 30..
Kama limeshajichokea na injini ina mileage kubwa sana ,hapo atumie 5w40 au abane uchumi kabisa aangukie SAE40.
Kuna gari isiohitaji matunzo?X-trail inataka matunzo
Zipo nyingi tuKuna gari isiohitaji matunzo?
Huna hata bodabodaNi mabovu kabisa na spea zake ni ghali sana! Nimekujibu bila kusoma comments za wengine wamesemaje!
Toa mfano mkuu, gari gani haihitaji matunzo. Nijuavyo mimi kila machine/ingine, ili idumu shurti uitunzeZipo nyingi tu