loykeys
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 1,175
- 910
Daah sasa itakuaje wakuu na mchuchu nilishamuahid nissan xtrail?
chukua hiyo gari mkuu usiogope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah sasa itakuaje wakuu na mchuchu nilishamuahid nissan xtrail?
hapana mkuu, ukiifanyia matengenezo inafika zaidi ya hapo. naona ipo mitaa sawa na wakina Altezza, na baadhi ya 2.0L engine cars.
Hapo niliposema huo ulaji nilicalculate siku moja kulikua na heavy traffic Buguruni. nadhani kwa Foreni za kawaida unaweza piga 10km/L.
Mbona ni LHD mkuu? Volts ni nzuri lakini kwa uchache wake ukiharibika body spare itasumbua sana kuipata. Engine parts zinaingiliana na hizo gari ulizotaja. Bora achukue Harrier 4 cilinder ingawaje engine zake nyingi ni 2.4L hadi 3.0LNaijua Voltz kwa kiwango chake. Naweza kukushauri uichukue coz kwa ukubwa haitofautiani sana na Xtrail.
Voltz ilitengenezwa kwa corabollation ya Toyota na General Motors, mwaka 2002 to 2004. Zilitengenezwa units 10,000 tu. Ila usiogope kuhusu spare parts coz inaingiliana na corolla nyingi tu kama Allex, Auris, RunX, corolla saloon etc.
Ina engine ya displacement 1.8L either 2ZZ_GE au 1ZZ_FE zote i4. Ni four wheel drive na hiyo engine unapata 118hp. So ata uko ulipokutaja kuwe na milima au matope usiwe na wasiwasi
Nimewahi endesha hapa Dar kama Mwezi mmoja. Ulaji wake wa mafuta kwa hapa Dar ni 8/9km kwa lita. Highway inafika hadi 11km kwa lita. Sio paperwork I traveled with her Dar to Dodoma once.
Ina shape nzuri na ndani ipo comfortable sana. Handling poa sana.
![]()
![]()
![]()
Hiyo picha nime download tu ndio maana. Ila nyingi tu RHD.Mbona ni LHD mkuu? Volts ni nzuri lakini kwa uchache wake ukiharibika body spare itasumbua sana kuipata. Engine parts zinaingiliana na hizo gari ulizotaja. Bora achukue Harrier 4 cilinder ingawaje engine zake nyingi ni 2.4L hadi 3.0L
Ya Rav 4 haimalizi miezi 6, lakini ya Nissan ni miaka siyo chini ya 10. Nina Nissan serena nimetoa shock up baada ya miaka kumi toka niinunue Japan! Zinasumbua, lakini Mombasa zipo tele. Nilinunua mbili za mbele kwa 600,000 Tsh.usijaribu hiyo gari itakufilisi utauza hata kuku kabla hawajaanza kutaga ili utengeneze gari,shockup moja shs 600000 wakati ya rav4 ni 80000,ninayo imenishinda hata kuuza haiuziki mtu anakuja anasema labda nikupe3,000,000
Muzi, Angalia post #47, kuna kitu nimeandikaAkili za wengine changanya na zako ili upate jibu sahihi. From simple analysis kwenye hii mada 92% wameeleza matatizo makubwa ya Nissan Xtrail kwenye gharama ya spear, maintenance costs, fuel consumption, na mambo kede kede ambayo mwisho wa cku UTAJUTA, it's up to you to decide. Ila kama mpunga uko vizuri beba baba!
Ah ah ah eti ni ndoa ya kikatolicNi ndoa ya kikatoliki mkuu haivunjwi kirahisi yaani duh
Ndugu hiyo Nissan miaka 4 nipe contacts za fundi unayemuamini kuwa anazijua gari hizo. Pia service unafanyia wapi kwa hapa Dar. Spare original zinapatikana duka gani. Pia nataka ushauri jinsi ya kuitunza. AsanteNina Xtrail mwaka wa nne sasa. Cha muhimu ni umpate fundi permanent na anayejua. spea zake ni gharama lakini ukiifunga utasahau kwa safari ndefu ni nzuri wala huchoki
Kwa muoenekano iko bomba,lakini durability ni ndogo sana fight upate Rav4Wadau nimejichanga toka 2014 mpaka leo nimetimiza lengo la kama 8000 USD nataka kuagiza Nisaan X-trail toka japan. Mwenye ujuzi wa hiz gari msaada tafadhali. Vipi ulaji wa mafuta, spea, ugumu kwa barabara za bonyokwa hukoooo...
Hahaha hapa imebidi nicheke tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha! Niliwahi kumiliki hicho kipando ilikuwa kabla sijakiwasha kuanza safari natest namba ya fundi wa karibu wa maeneo ninayokwenda kwa kuwa chochote kinaweza tokea!
Hivi Passo shida yake ni nini hasa? Umbo lake au performance au vyote? Maana karibu thread zote zinazohusu passo humu ni inawekwa katika kejeli zaidi...shida ya hii gari ni nini hasa kwa wazoefu?Daah! X trail ni ugonjwa wa moyo bora hata Passo