Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

Unaonekana umenunua x-trail siku si nyingi hamna gari hapo
We ndio huna ujuzi wa magari hiyo nayokuambia ni namber CEP na imetembea nchi nzima. Haijawahi hata siku moja kusumbua pia nina rafiki yangu anayo CEJ acha kabisa.

Hujui kaa kimya unaadithiwa nawe unapasisha. Kaa kimya
 
Wadau BMW series 3 vipi??
Ya mwaka 2006

1.Uimara wake
2.Matunzo yake
3.Gharama za Matengenezo pamoja na spares
4.Unywaji wa mafuta

1. Japo sijawah itumia ila lazima itakuwa imara pia uimara unatokana na utunzaji wako pia
2. Kawaida kama gari zingine
3. Cfahamu exactly
4 . Inakwenda 14 kilometers per litre pia hutegemea na uendeshaji wako

Engine capacity Cc 1990
2wd
5 seats 4 doors
Hii gari unaweza kuagiza kuanzia 14million ukapata chombo ya mjerumani
Bayerische Motoren Werke
 
Nissan shida yake ni gearbox zao za cvt ni kimeo sana,kingine ni kwamba ni kama walisimama kufanya interior updates za magari yao. Nissan ya 2008 inafanana na ya 2018 ndani,mtu akinunua gari mpya basi isifanane na zile za zamani.
 
Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.

Je, wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu...
asante sana kwa Elimu, Mafunzo tosha umetupa japo sisi wengine tunatumia ma vx ya serikli
 
Nissan shida yake ni gearbox zao za cvt ni kimeo sana,kingine ni kwamba ni kama walisimama kufanya interior updates za magari yao. Nissan ya 2008 inafanana na ya 2018 ndani,mtu akinunua gari mpya basi isifanane na zile za zamani.
Magari yote ya CVT ni shida kwa sababu watu wengi hawana elimu sahihi ya utunzaji wa CVT.

CVT haitaki ujanja ujanja wa fluid....Lazima uweke iliyokuwa recommended.

Pili, hakikisha unatumia coolant genuine kwa gari za cvt....ukitumia maji ya bomba CVT fluid inapata moto sana kuliko joto lililotarajiwa....hapo utaua gear box yako mapema..CVT fluid inatakiwa ifanye kazi ikiwa na joto la angalau 80°C mpaka 90°C hivi likizidi sana fluid inaharibika.....Kumbuka magari mengi ya CVT mfumo wa upoozaji unafanya kazi mara mbili, kupooza engine na kupooza gearbox

Kwa sasa matumizi ya cvt hatukwepi, brands nyingi wanahamia huko kwa sababu Production ya CVT ni gharama nafuu kuliko ordinary automatic gearbox, pili cvt inafanya gari liwe na matumizi mazuri zaidi ya mafuta na smooth riding...

Ukifuatilia kwa sasa Nissan , Subaru, Mitsubish ni vinara wa cvt, Toyota nao wanakuja kwa kasi...

Tujiandae na mabadiliko hayo..
 
Magari yote ya CVT ni shida kwa sababu watu wengi hawana elimu sahihi ya utunzaji wa CVT...
Shida ni kwamba hizo cvt za Nissan ni kimeo tu hata ufanyeje na ndiyo zimesababisha gari zao kudrop value haraka zikiwa mpya.
 
Shida ni kwamba hizo cvt za Nissan ni kimeo tu hata ufanyeje na ndiyo zimesababisha gari zao kudrop value haraka zikiwa mpya.
Nissan's CVT from Jatco..[emoji38][emoji38] hapa ndipo Nissan walipofeli...Napenda sana nissan ila ukiwaza hizi CVT zao hususani zile zinazotumia NS3

Wangeendelea na Auto za kawaida,Toyota angesoma namba..[emoji38]
 
Msaada na ushauri, nimefunga universal keyless entry system kwenye nissan xtrail lakini milango yote inafunga vizuri kwa remote kasoro wa dereva tu ina ukishafunga na funguo wakati wa kufungua unafungua vizuri tu na remote, fundi wa umeme ameangaika hadi amesalenda mwenyewe, kwahymwenye wazo lolote??
 
weka griss kwenye mshikie wa lock,yaani kuna friction baina ya lock na mlango

Tatizo sio griss ni mfumo wa gari za nissan yaan hata ukiwa ndani ya gari ukalock milango, inayolock ni mingine ila wa dereva haulock mpk ulock manually
 
Nissan's CVT from Jatco..[emoji38][emoji38] hapa ndipo Nissan walipofeli...Napenda sana nissan ila ukiwaza hizi CVT zao hususani zile zinazotumia NS3

Wangeendelea na Auto za kawaida,Toyota angesoma namba..[emoji38]
Kimeo sana[emoji23][emoji23],halafu wanazitumia hadi kwenye luxury brand yao ya infinity [emoji29][emoji29].
 
Back
Top Bottom