Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
aisee.[emoji848][emoji848][emoji848]Kinamama uendeshaji wao wapo makini sana. Tofaut na wapenda K.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee.[emoji848][emoji848][emoji848]Kinamama uendeshaji wao wapo makini sana. Tofaut na wapenda K.
BMW SI Ya kubip chifWadau BMW series 3 vipi??
Ya mwaka 2006
1.Uimara wake
2.Matunzo yake
3.Gharama za Matengenezo pamoja na spares
4.Unywaji wa mafuta
We ndio huna ujuzi wa magari hiyo nayokuambia ni namber CEP na imetembea nchi nzima. Haijawahi hata siku moja kusumbua pia nina rafiki yangu anayo CEJ acha kabisa.Unaonekana umenunua x-trail siku si nyingi hamna gari hapo
Wadau BMW series 3 vipi??
Ya mwaka 2006
1.Uimara wake
2.Matunzo yake
3.Gharama za Matengenezo pamoja na spares
4.Unywaji wa mafuta
Nashukuru MkuuTo my advice kutokana na uzoefu wangu kwenye sector ya magari nakushauri ukiweza badili gari..hizi gari si rafiki sana linapokuja suala la spare, durability na zina shida ya AC pamoja na gearbox baada ua muda
We umeagiza Nini Japan toka kuzaliwa?Nakataa hii hoja.! Mbona gharama zake kwa kuagiza sio chini kama inavyosemwa na hawa wanaJf
We umeagiza Nini Japan toka kuzaliwa?
I doubtNimeagiza gari yangu ya kwanza kumiliki, Crown Athlete
I doubt
asante sana kwa Elimu, Mafunzo tosha umetupa japo sisi wengine tunatumia ma vx ya serikliNaona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.
Je, wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu...
Magari yote ya CVT ni shida kwa sababu watu wengi hawana elimu sahihi ya utunzaji wa CVT.Nissan shida yake ni gearbox zao za cvt ni kimeo sana,kingine ni kwamba ni kama walisimama kufanya interior updates za magari yao. Nissan ya 2008 inafanana na ya 2018 ndani,mtu akinunua gari mpya basi isifanane na zile za zamani.
Shida ni kwamba hizo cvt za Nissan ni kimeo tu hata ufanyeje na ndiyo zimesababisha gari zao kudrop value haraka zikiwa mpya.Magari yote ya CVT ni shida kwa sababu watu wengi hawana elimu sahihi ya utunzaji wa CVT...
Nissan's CVT from Jatco..[emoji38][emoji38] hapa ndipo Nissan walipofeli...Napenda sana nissan ila ukiwaza hizi CVT zao hususani zile zinazotumia NS3Shida ni kwamba hizo cvt za Nissan ni kimeo tu hata ufanyeje na ndiyo zimesababisha gari zao kudrop value haraka zikiwa mpya.
Msaada na ushauri, nimefunga universal keyless entry system kwenye nissan xtrail lakini milango yote inafunga vizuri kwa remote kasoro wa dereva tu ina ukishafunga na funguo wakati wa kufungua unafungua vizuri tu na remote, fundi wa umeme ameangaika hadi amesalenda mwenyewe, kwahymwenye wazo lolote??
Tatizo sio griss ni mfumo wa gari za nissan yaan hata ukiwa ndani ya gari ukalock milango, inayolock ni mingine ila wa dereva haulock mpk ulock manuallyweka griss kwenye mshikie wa lock,yaani kuna friction baina ya lock na mlango
Kimeo sana[emoji23][emoji23],halafu wanazitumia hadi kwenye luxury brand yao ya infinity [emoji29][emoji29].Nissan's CVT from Jatco..[emoji38][emoji38] hapa ndipo Nissan walipofeli...Napenda sana nissan ila ukiwaza hizi CVT zao hususani zile zinazotumia NS3
Wangeendelea na Auto za kawaida,Toyota angesoma namba..[emoji38]