MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

[/QUOTE] Nimependa na nimeukubali ushauri wako kwan ni muhimu sana hakika there is something to learn here!

Muhusika apitie ushauri wako kwani ni muhimu na wenye facts.
 
Boxer, TVS na Mahindra
ni piki piki nzuri sana mfumo wake ni wa timing chain unapungunguza nguvu kubwa ya kuchoma mafuto mengi lakin mzungo wa ijini unakuwa mkubwa kwenye mafuta zipo vizuri ...changamoto.

1. Mafundi wa kuzitengeneza ni wachache..ukiipeleka kwa mafundi wa piki piki za mchina hasa kufungua ijini tegemea kuharibiwa kabisa.

2. Spare zake zipo juu sana tofauti na piki piki za kawaida.

3.zinahitaji oil za gharama za juu na zenye quality kwa usalama wa igini yako !!Vinginevyo utaichakaza mapema kuanzia sha 10,000 oil.

4.spare zake nyingi haziingiliani na piki piki za chini.

5. Hazikubali modification hasa ya spare kama imekosekana agiza usije kumodifire ukafunga ...utapata ajali
 
Mkuu maeneo gani hapa bongo taipata hiyo Honda cg 125? Na ni bei gani mpya?
 
Mkuu maeneo gani hapa bongo taipata hiyo Honda cg 125? Na ni bei gani mpya?
Kusema ukweli sidhani kama utaikuta duka lolote ikiuzwa hii.adimu mno labda uagize nje mwenyewe au ukubaliane na dealers wa honda pale kkoo wakuagizie mkipatana.
Niliiona alibaba wanauza 2.5m ila sina uzoefu wakuagizia.
 
Naunga mkono hoja...mzee ana hiyo CGL tangu takribani 2006 mpaka sasa iko vizuri kabisa. Imechakaa sura ila injini iko sawa.
Nna MTR 125 ya mwaka 2009 hadi Leo inapiga mzigo na injini iko safi. MTR ni Singapore kama sikosei.

Wenye boxer wengi zinakufa kwa sababu wanabeba mzigo mzito na service hawazingatii. Pikipiki za mchina zina spea nyingi kwa hiyo ni afadhali kwa mtu asiye na kipato kizuri au mbahili kununua spea.

Ila kama ulivyosema pikipiki no mjapani, naunga mkono hoja.
 
Kwa mazingira yako ya Muheza chukua Huoniao jitahidi kuitunza na kuendesha kwa umakini.
Hiyo spea na mafundi si tatizo kwa Tanga kila kona utapata huduma.
 
Kuhusu gear toyo ina gia tano boxer ni 4 je toyo inakimbia kuliko boxer? Jibu hapana kwann je?

Kuna nguvu fulan inatakiwa kufikisha chombo flan chenye uzito flan speed flan no matter that chombo is geared ..weka hilo kichwan
 
Chukua haojue ni imara na ukitaka kuiuza inauzika kiurahisi
 
Chukua Sanlg CG125 maarufu kibao cha mbuzi hiyo ndio pikipiki pekee bora ya kichina. Kwa hii pikipiki ina gear 5 na ina mudu njia zote. Hii ukiifanyia modefication kidogo huyo Boxer hakukamati.
 
Ahsante wakuu, nimeelimika. Ngoja korona ikate moto panapo majaaliwa naenda kuchukua kitu.
 
Mkuu upo nkuulize kitu?
 
Mkuu hii kitu Haoje naomba unipe ubora wake na mapungufu yake ukilinganisha na TVS/SANLG na bei yake.

Nataka nivute kitu soon.
mapungufu yake bado sijayaona upande wa pikipiki za kichina mkuu
uchawi wa bike ni oil nzuri na services bc
 
Nunua pikpiki yeyote ya kawaida ambayo vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi.Chombo chochote ni matunzo tu na service kwa wakati kinadumu.
matunzo kila kitu nipo na boxer tang 2015 watu wanasema nimebadilisha namba maana inawaka kama nmba C na ni ATT sipakii mzigo wowote na simpi mtu yyte kuendesha ni bora nimpeleke mm mwenyewe .service ya uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…