Nywilla
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 379
- 349
[/QUOTE]
Muhusika apitie ushauri wako kwani ni muhimu na wenye facts.
Nimependa na nimeukubali ushauri wako kwan ni muhimu sana hakika there is something to learn here!y
pikipiki yoyote inafaa na ni imara ENDAPO TU utazingatia yafuatayo:
-nunua toleo halisi /original
-ijue tabia yake (soma user manual)
-jali vilainishi na mafuta: epuka petrol za mtaani, imrchanganywa, ina uchafu, imepigwa jua na kubadilika rangi iko km dizeli, tembeakoki ya mafuta iwe kwenye full sio reserve...
Muhusika apitie ushauri wako kwani ni muhimu na wenye facts.