MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

[/QUOTE]
y
pikipiki yoyote inafaa na ni imara ENDAPO TU utazingatia yafuatayo:
-nunua toleo halisi /original
-ijue tabia yake (soma user manual)
-jali vilainishi na mafuta: epuka petrol za mtaani, imrchanganywa, ina uchafu, imepigwa jua na kubadilika rangi iko km dizeli, tembeakoki ya mafuta iwe kwenye full sio reserve...
Nimependa na nimeukubali ushauri wako kwan ni muhimu sana hakika there is something to learn here!

Muhusika apitie ushauri wako kwani ni muhimu na wenye facts.
 
Kumekuwa na makampuni mbalimbali yanayofanya biashara ya kuuza pikipiki. Baada ya kutumia pikipiki aina ya T better kwa muda mrefu nimeona ni bora sasa ninunue Boxer.

Naomba nijue faida na changamoto ya hizi pikipiki. Na kama kuna anayeuza njoo inbox tuyajenge.
Boxer, TVS na Mahindra
ni piki piki nzuri sana mfumo wake ni wa timing chain unapungunguza nguvu kubwa ya kuchoma mafuto mengi lakin mzungo wa ijini unakuwa mkubwa kwenye mafuta zipo vizuri ...changamoto.

1. Mafundi wa kuzitengeneza ni wachache..ukiipeleka kwa mafundi wa piki piki za mchina hasa kufungua ijini tegemea kuharibiwa kabisa.

2. Spare zake zipo juu sana tofauti na piki piki za kawaida.

3.zinahitaji oil za gharama za juu na zenye quality kwa usalama wa igini yako !!Vinginevyo utaichakaza mapema kuanzia sha 10,000 oil.

4.spare zake nyingi haziingiliani na piki piki za chini.

5. Hazikubali modification hasa ya spare kama imekosekana agiza usije kumodifire ukafunga ...utapata ajali
 
Ni wazi kua pikipiki imara ni za mjapan.
Sasa basi kwa bajeti yako nakushauri usifanye makosa tafuta pikipiki ya mjapan na unaweza kuongezea pesa kidogo ila usiogope maana unanunua mkataba haswa.

Tafuta pikipiki hizi,kwa matumizi yako binafsi na vimizigo vya hapa na pale
Mkuu maeneo gani hapa bongo taipata hiyo Honda cg 125? Na ni bei gani mpya?
 
Mkuu maeneo gani hapa bongo taipata hiyo Honda cg 125? Na ni bei gani mpya?
Kusema ukweli sidhani kama utaikuta duka lolote ikiuzwa hii.adimu mno labda uagize nje mwenyewe au ukubaliane na dealers wa honda pale kkoo wakuagizie mkipatana.
Niliiona alibaba wanauza 2.5m ila sina uzoefu wakuagizia.
 
Tafuta pikipiki hizi,kwa matumizi yako binafsi na vimizigo vya hapa na pale:
1.Honda CGL 125
2.Honda CG 125
3.Honda Ace cb 125(ila hizi nadhani ni za south africa kama sikosei)
Machaguo ya kwanza ndo mjapan mwenyewe na zote zina starter.

Nina Honda CG 125 huu mwaka wa 8 sasa kitu piru bado,nna jamaa yangu alinunua mapikipiki yenu ya kihindi na mchina kwa miaka mi5 ila ukiziweka pamoja yangu bado inaonekana mpya na tunapiga na kufanya mizunguko inayofanana kwakua mishe tunafanya pamoja.

Narudia tena na tena jikaze kwenye bei pikipiki ni za mjapani tu!
Naunga mkono hoja...mzee ana hiyo CGL tangu takribani 2006 mpaka sasa iko vizuri kabisa. Imechakaa sura ila injini iko sawa.
Nna MTR 125 ya mwaka 2009 hadi Leo inapiga mzigo na injini iko safi. MTR ni Singapore kama sikosei.

Wenye boxer wengi zinakufa kwa sababu wanabeba mzigo mzito na service hawazingatii. Pikipiki za mchina zina spea nyingi kwa hiyo ni afadhali kwa mtu asiye na kipato kizuri au mbahili kununua spea.

Ila kama ulivyosema pikipiki no mjapani, naunga mkono hoja.
 
Kwa mazingira yako ya Muheza chukua Huoniao jitahidi kuitunza na kuendesha kwa umakini.
Hiyo spea na mafundi si tatizo kwa Tanga kila kona utapata huduma.
 
Mkuu maeneo gani hapa bongo taipata hiyo Honda cg 125? Na ni bei gani mpya?
Kumbe bongo wanazileta pia
Screenshot_20200123-214951.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
codifier
 
Kuhusu gear toyo ina gia tano boxer ni 4 je toyo inakimbia kuliko boxer? Jibu hapana kwann je?

Kuna nguvu fulan inatakiwa kufikisha chombo flan chenye uzito flan speed flan no matter that chombo is geared ..weka hilo kichwan
 
Chukua haojue ni imara na ukitaka kuiuza inauzika kiurahisi
 
Chukua Sanlg CG125 maarufu kibao cha mbuzi hiyo ndio pikipiki pekee bora ya kichina. Kwa hii pikipiki ina gear 5 na ina mudu njia zote. Hii ukiifanyia modefication kidogo huyo Boxer hakukamati.
 
Ahsante wakuu, nimeelimika. Ngoja korona ikate moto panapo majaaliwa naenda kuchukua kitu.
 
kuna pikipiki za mchina zinitwa haojue 125-8 hizi pikipiki ni nzuri sana kwa kustahilimil hayo mazingira na unatumia mafuta kidogo sana yangui ina mwaka na nusu saiv ila bado wembe
na nimetumia baadhi ya pikipiki ila hii nimeikubali zaidi sio tvs wala boxer
na bei yake ni 2.3
Mkuu upo nkuulize kitu?
 
Mkuu hii kitu Haoje naomba unipe ubora wake na mapungufu yake ukilinganisha na TVS/SANLG na bei yake.

Nataka nivute kitu soon.
mapungufu yake bado sijayaona upande wa pikipiki za kichina mkuu
uchawi wa bike ni oil nzuri na services bc
 
Nunua pikpiki yeyote ya kawaida ambayo vifaa vyake vinapatikana kwa urahisi.Chombo chochote ni matunzo tu na service kwa wakati kinadumu.
matunzo kila kitu nipo na boxer tang 2015 watu wanasema nimebadilisha namba maana inawaka kama nmba C na ni ATT sipakii mzigo wowote na simpi mtu yyte kuendesha ni bora nimpeleke mm mwenyewe .service ya uhakika
 
Back
Top Bottom