MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Inawahi kuchoka yaani ikichakaa hata ukiweka mchuzi wa samaki paka hawezi kulamba., pia hata kuuzika ikiwa used ni msala mkuu.
Hapo saw je miaka 3-4 years kwa matumizi binafsi haidumu ?
 
Sawa na asnt kwa mimi niko MTWARA na matumizi yangu ni binafsi kwa kiac kikubwa kwakuwa nahtaji ya kwaajili yakuendea kazi tuu na mizunguko isiyo zid km30 kwa siku
Mizgo kwangu ni nadra sana
Na kama abilia kubeba pia ni mara chache sana hivyoo yaan


Naona kama Boxer inanishawishi kutokana na hazi yake ata mbele ya watu na kiofisi ata kuwabebea mashejio....
Tatizo la boxer utaliona baada ya mwaka 1 unapobadili ring,spea ya boxer ni mara kumi zaidi ya mchina
 
Hizo bike cjazpa vzr yamah crux
2012-yamaha-crux-4_800x0w.jpg
 
Acha na pikipiki za mchina mkuu utakujashindwa pata watoto ukiendesha zaidi ya speed 60 inaibuka vibresheni kende zote zinauma.
Mbaya zaidi upite rough road zenye mbavu za mbwa utaimba.
 
Pendekeza kati ya hizo walau yenye ubora kama
Ni
SANLG
FEKON
HAUJO
BOXER
KING LION
TVs KING
(YAAN HIZI ZA SISI WALALA HOI
Hapo chukua t beter haili mafuta sana na pia ina nguvu,kwa sehemu zenye milima t beter 1 lt/ 40
 
Chukua crux mkuu, iko comfortable kama boxer ila iko poa zaidi.

Hapo saw je miaka 3-4 years kwa matumizi binafsi haidumu ?
Halafu kwa boxer labda nichukue bm 100 zile zenye kiuno kirefu.
bajaj-boxer-bm-100-1.jpg
 
Back
Top Bottom