Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na jinsi ilivyo mkuu mafuta ilivyokua mpya ilikua inaenda km70/litaBei elekezi
Nilitumia kwa miaka kama mitatu ikafikia around1L/60km.Now inakulaje ?
Spare zipo mm nafanya biashara ya spare pia hazisumbuiYes.... Ila spare znasumbua
Kwenye injini iko njema sana ila tank zao huwa zinatoboka inawezekana bati wanalotumia kutengeneza sio imara.Kwahyo unamaansha sykmark hizo piki piki haziko sawa ?
(Hazina ubora)
Kwasasa kupata ni vigumu sanaNitalipataje hlo Toleo la mwanzo mkuu