Pendekeza kati ya hizo walau yenye ubora kamaPikipiki imara na bora ni Honda ikifuatiwa na Yamaha na jamii ya Suzuki.Tatizo bei zake na hata vipuli vyake ni ghali.
Ubovu upi hasaa Brow
Acha na pikipiki za mchina mkuu utakujashindwa pata watoto ukiendesha zaidi ya speed 60 inaibuka vibresheni kende zote zinauma.Nitalipataje hlo Toleo la mwanzo mkuu
Tatizo la boxer utaliona baada ya mwaka 1 unapobadili ring,spea ya boxer ni mara kumi zaidi ya mchinaSawa na asnt kwa mimi niko MTWARA na matumizi yangu ni binafsi kwa kiac kikubwa kwakuwa nahtaji ya kwaajili yakuendea kazi tuu na mizunguko isiyo zid km30 kwa siku
Mizgo kwangu ni nadra sana
Na kama abilia kubeba pia ni mara chache sana hivyoo yaan
Naona kama Boxer inanishawishi kutokana na hazi yake ata mbele ya watu na kiofisi ata kuwabebea mashejio....
Hizo bike cjazpa vzr yamah crux
Mbaya zaidi upite rough road zenye mbavu za mbwa utaimba.Acha na pikipiki za mchina mkuu utakujashindwa pata watoto ukiendesha zaidi ya speed 60 inaibuka vibresheni kende zote zinauma.
Hapo chukua t beter haili mafuta sana na pia ina nguvu,kwa sehemu zenye milima t beter 1 lt/ 40Pendekeza kati ya hizo walau yenye ubora kama
Ni
SANLG
FEKON
HAUJO
BOXER
KING LION
TVs KING
(YAAN HIZI ZA SISI WALALA HOI
Boxer natumia mwaka wa tatu haina tatizo na natembea km 38 kwa wiki, pikipiki ni matumizi tuUbovu upi hasaa Brow
NagasakiDucati
Kawasaki
Halafu kwa boxer labda nichukue bm 100 zile zenye kiuno kirefu.Hapo saw je miaka 3-4 years kwa matumizi binafsi haidumu ?
Hizo crux pcha tafadhali na beiChukua crux mkuu, iko comfortable kama boxer ila iko poa zaidi.
Halafu kwa boxer labda nichukue bm 100 zile zenye kiuno kirefu.View attachment 882377
Hizo crux pcha tafadhali na bei
Mie nilipewa tu mkuu. Bei sio chini ya 2 million.Hizo crux pcha tafadhali na bei
Haiuzwi chini ya milioni 2 mkuu.Bei elekezi