haya , mwanangu kaja na CLASS PARTY tsh 10000/=
iko kazi........................................................................
kinachotuumiza hapa ni Culture tu hamna kingine.. nisipotoa atanionaje? n.k Lakini uhalisia unabakia pale pale. mtu anaahirisha vitu vya maana na kujinyima ili achangie harusi.ghrrrrrrrrrrrrrr
hii michango yaweza fanya ubadili namba
Nmh, mimi nimeambiwa sijui Xmas concert ya tarehe 8dec sh 20,000/= na DVD sh 5,000/= (shuleni kwa Mtoto huko!)
Watu wengine jamani huwa hawana aibu,unakuta mtu hamjaonana karibu miaka mitatu siku anakutafuta mnaonana unaanza kufurahi,unashangaa anakutolea kadi ya mchango ha!! kuna watu wanajua kuchuna sura.
Nina mtihani mkubwa mwenzenu; nina niece wangu ambaye amechumbiwa. Wazazi wake wamefariki; nimebaki kama mzazi, msimamo wangu ni kutochangia na kutochangisha michango ya harusi. Sasa nashindwa kumwambia huyo niece wangu, msimamo wangu kwani huenda asinielewe na kuanza kummiss mama yake!
Ofisini kwangu, wanajua msimamo wangu mchango ninayotoa ni magonjwa, elimu na misiba tu!
Kwa sababu waoaji wameongezeka arusi zirudishwe kuwa jukumu la familia husika, hii ni mhimu sana izingatiwe.
Nina mtihani mkubwa mwenzenu; nina niece wangu ambaye amechumbiwa. Wazazi wake wamefariki; nimebaki kama mzazi, msimamo wangu ni kutochangia na kutochangisha michango ya harusi. Sasa nashindwa kumwambia huyo niece wangu, msimamo wangu kwani huenda asinielewe na kuanza kummiss mama yake!
Ofisini kwangu, wanajua msimamo wangu mchango ninayotoa ni magonjwa, elimu na misiba tu!
Afadhali miezi nane, wengine hata wiki haiishi ndoa ishavunjika!Nilichangia harusi moja kubwa sana mwaka jana. Ndoa hiyo ikavunjika baada ya miezi nane, nataka wanirudishie hela yangu.
Nilichangia harusi moja kubwa sana mwaka jana. Ndoa hiyo ikavunjika baada ya miezi nane, nataka wanirudishie hela yangu.