The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
acha roho mbaya braza wangu, Kuna jamaa hapo ka komenti kuwa ye kwenye haruc yake hakutaka kuchangiwa kwakuwa naye hakuchangia. Sasa kama mtu unahwezo wa kujifanyia haruc yako bila kuchangisha mtu, hivo vi 50k ambavyo kwa mwezi vnaweza tokea mara 1 au 2 ndo ushindwe kweli??? Labda kama hela zako za majini. Binadamu tunasaidiana hizo mia mia zako kwa mwenzio mwenye shida zna umuhimu. ACHA ROHO MBAYA CHANGIA JAMII YAKO.