Mkuu wala usihofu, mchango wa harusi/send off hauokuongezei au kukupunguzia marafiki. Usifikiri kama ukimchangia mtu ndo atakuona wa maana au kuwa usipomchangia atakulaumu. Changia tu kama una nafasi maana binadamu siyo 'parokia' ni mjamii.Wadau hii michango imekuwakero sasa,
binafsi mpaka sasa hivi nina kadi 6 za michango,simu kila mda inapigwa kukumbushwa michango,sms
ndo usiseme.
Inatubidi kubadilika kabisa na hii michango isiyokuwa na tija zaidi ya kuacha madeni na lawama.
Unapigiwa simu kila mara kama unadaiwa vile.
Kama na wewe umekutana na kero yoyote embu tujuze hapa na nini suluhisho?