Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame


Yawezekana kweli anatafuta kiki na kuichafua nchi yake bureee
 
Mi naona Max Melo JF itadukuliwa ili kuzima hii kitu sababu watu wanasoma hata IKulu pale pale wakuwa wavuta muda kwenye lindo

Watudi wamrjasiruka sana, sasa hivi wana comment wao wanajibu wao ha ha kuda deki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwe unareply kwenye komenti husika

Shwainiii

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Awamu hii imejaa wachumia tumbo?

Vituko hivi

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Hahaha alafu kwenye post zingine wanajidai at Wana mastes degree hahaha hapa kwenye lugha wanakuwa wapole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza kuwa kweli wanazo kumbuka kizungu sio lugha mama kwetu

Kuna wasomi wana PhD lakini hawajui kizungu


Ingawa ni uzembe kuwa na elimu kubwa halafu kiingereza cha kusoma huwezi

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 

Mjadala haumaliziki, weka link mkuu
 
Mwenzako kafanya tafiti tena kutoka kwa mwandishi wa kitabu aliyeshuhudia.

Sasa unaposema 'vitu havina uhakika' inabidi utumie akili yako zaidi ufanye utafiti ili upate uhakika.


NOTE: Akili ikichoka muda wako wa kuishi siyo rafiki.
Na akili ikiwa haijachoka utaishi maisha marefu kama Mugabe😎
 
Kagame nimemaindi sana alipo mpiga yule beki 3 makofi, had kafukuzwa kazi kwa general........

Yule dada nadhan Ni Yule mzuri kule ambassador choir

Kagame umezingua hapa......
Embu funguka kidogo Mkuu, sijakuelewa. Ina maana waligombania mwanamke?
 
Mange yuko US, anawaambia na kuwaandamanisha huku

Ya Marara mnabisha

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Nani alikula makofi

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…