Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Umeanza vizuri,lakini umemaliza sivyo.
Tungeliweza kueleza yote,lakini hapa so mahala pake.
Kupokekezana vijiti vya uongozi kuna siri nyingi pengine hats sisi hapa JF hatuwezi kuzibaini na hata tunapozibaini si busara kuropoka hovyo.
Ni muda tu utasema.
 
Unaamini ni kweli? Kama alikuwa muoga hivyo unadhani ilikuaje RPF ilikubali kuongozwa na kiongozi muoga?
Ni namna tu unavyoweza kuzichanga karata

Siasa sio uhalisia, unakula na nani, 'unawanyenga' vipi wenzio baasi unakaa madarakani kiulaiiini

Ni Magufuli tu alipata urais bila kubebwa na mtu sababu ya Mapenzi ya Mungu kwa taifa hili

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Unafikiri ukitaka kusikiliza upande wa Kagame utaambiwa haya?

Hiki kitabu mengi ni kweli, unatakiwa kuwa na akili tu ya kuona mengine yanastahili kukushangaza na mengine ya kawaida tu

Ukitaka kusikiliza pande zote hutapata ukweli wowote, sio kila habari inahitaji kubalance

Ni wewe tu kujua lipi kweli la ajabu na lipi la kawaida(ya kawaida hata watawala wetu na wa nchi zingine hasa za kiafrika wanayo)

Mfano uambiwe first lady anafanya shopping za gharama ughaibuni (sasa ajabu nini hapo?)

Lakini ukiambiwa first lady ana tabia za kutoka/anadate na wasaidizi wa rais (hii inashangaza)

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Hawafahamu raia wa kawaida

Kagame na wenzake wanaelewa(na ndio walengwa)

Vipi, lile gereza la Gitarama bado mwendo ni ule ule wa kurundika watu na kuwasahau huko?

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Wanyarwanda wasingefahamu kiswahili ambassador wasingeimba kiswahili

Hatukuimbiwa sisi, na wao pia

Rwanda iwe bustani ya Eden mbele ya Gitarama?

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Dharau zako tu, watu wasingekuwa wanafanya kazi usingepata hata muda wa kuingia hapa



Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
yule dada kamsulubisha na kumfilisi kwa kuchukua forn tu ku gombea urais, unataka ushahidi gani tena,
Ndugu, sidhani kama umesoma nakuelewa nilichoandika kabla, mambo mengi ya PK yanajulikana na yako wazi sana.
 
nahisi huyu jamaa ana mental disorder syo kwa kuua huko
ubinafsi uliokithiri,tamaa ya mamlaka iliyopindukia na kujidhania ni bora kupita wengine,lazima kuzalishe hulka za namna hii...kama ni kweli hayo,si ajabu kwa asili yake...
 
Kuna sehemu mwandishi anaeleza kuwa, PK alikuwa anataka kumtarget JK kwa kupitia Nkurunzinza, na jamaa wa Burundi akakataa na kumtonya JK, na ndo maana wakati Nkurunzinza alipotaka kupinduliwa akiwa Tanzania, JK aliweza kumsupport kurudi Burundi kupitia Kigoma na kuhakikisha kuwa anarudi Madarakani.
Kilichofuata baadae ni kwamba PK akaanza bifu na Nkurunzinza baada ya kuona mission yake imefichuriwa.
Huyu jamaa amechachafua pia bongo, kuna Prof Mmoja wa UDSM alikuwa lawyer aliuawa maeneo ya Salasala kwa kupigwa risasi, inasadikiwa ni mission ya PK kufuta ushaidi kwa sababu huyu lawyer alikuwa anawatetea wale jamaa kwenye zile kesi za mauaji kule Arusha na alikuwa anataka PK naye akamatwe kwa mauaji.
 
inasemekana hata yule mkurugenzi wa usalama aliyeuliwa moshi kwa kupigwa risasi...kumbuka ile ndege iliyobeba wale marais wawili,Moi alitaka kuomba lift akazuiliwa na marehemu yule akajiondokea na gari kurudi nairobi
 
Dharau zako tu, watu wasingekuwa wanafanya kazi usingepata hata muda wa kuingia hapa



Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
vipi hao jamaa zako wanaosababisha tupate mda wakuingia hapa WAMEWARUHUSU WALE VIJANA WA IT TOKA RWANDA kufanya kazi ATCL na bandari?vipi ile office special ya Rwanda bandarini napale kahama zinaendeleaje?
 
vipi hao jamaa zako wanaosababisha tupate mda wakuingia hapa WAMEWARUHUSU WALE VIJANA WA IT TOKA RWANDA kufanya kazi ATCL na bandari?vipi ile office special ya Rwanda bandarini napale kahama zinaendeleaje?
Weka ushahidi

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
 
Weka ushahidi

Sijui Kwanini Japo Naelewa Sababu
nimekuuliza swali unaniambia niweke ushahidi,hukumsikiarafiki yake kagame siku anapokea bombardier ya kwanza alichosema kuhusu kuleta vijana wa IT toka Rwanda ku operate ATCL?hilo la Rwanda kuwa na office special bandarini na kahama hulijui nalo?
 
Sawa. Tumekuelewa vzr. Sasa hebu elezea kisa cha mtu kufuatwa hadi south na kuuawa na mauaji mengine ilikuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…