Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

In fact it seems to be that PK is really a tyrant leader of this era, this is due to so many killings he has committed starting from Gen Rwigyema and so many others including his army commders, funny enough he killed even European tourists!! By doing this he's creating a lot of enemies who one day will cause his downfall it's just a matter of time ..........
 
Mkuu umepotea sana, vipi kazi zimekuwa nyingi? Nilizoea kuona michango yako mingi, siku hizi imepungua sana. Kilangila.

Daaa mkuu mambo mengi sana itabidi nianze kutia timu shukrani
 
Hivi wa Rwanda JF wamo humu hizi nondo wanazisoma ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mtupu mkuu.
Sidhani kama mtu mwenye akili timam,anaweza akasifia upuuzi huu. Watu eti waliitikia kikao, askari wa RPF wakawamiminia risasi?! Mwaka gani huo?Wapi huko? Ina maana hiyo serikaliya Habyarimana ilikua dhaifu kiasi gani cha kutotambua uwepo wa RPF huko?
Vitu vingine, sioni sababu ya kupoteza mda.
Hii story ni sawa na kudai kwamba Tanzania ni inchi isiyo na ziwa hata moja.
 
Hiki kitabu hata kama hakina ukweli asilimia miamoja lakini ni kitabu kinachosisimua na kutisha. Kimenipa picha kwanini mpaka wa Uganda na Rwanda umefungwa lakini pia mpaka wa burundi na rwanda.

Nimeona alivyo mgusa mzee kikwete na nimekumbuka mmauzi magumu aliyoyafanya kuwaondoa wakimbizi hakika kina kitu kikubwa zaidi ya kitabu. Hongera mwandishi na hongera uliyeshare nasi
 
mkuu kunywa maji kwanza tuliza munkari
 
Mh! Huyu mtu ni katili sana na mikono yake imejaa damu ya wanyarwanda wengi sana wasio na hatia. Huyo mwendawazimu wa Ikulu ndiyo anachukua darasa toka kwa huyu dikteta mwingine.

 
Tena naona ni mwanafunzi mzuri kweli! Kibaya zaidi, (baada ya kusoma hiki kitabu) naona hata hulka zinafana - wote hawashahuriki, wote wana visasi, n.k.

Mh! Huyu mtu ni katili sana na mikono yake imejaa damu ya wanyarwanda wengi sana wasio na hatia. Huyo mwendawazimu wa Ikulu ndiyo anachukua darasa toka kwa huyu dikteta mwingine.
 
Duhhh may thunder strike him
 
kijiji cha kagitumba kipo mpakani na bukavu huko,umesoma kitabu lakini?RPF walianza kupambana na Habyarimana tangu 1990 kwa msaada wa museveni wakitokea Uganda,1992 Habyarimana pale Arusha kwenye mazungumzo ya amani alikataa wakimbizi waliopo Uganda na Tz na kiwingineko wasirudi Rwanda kwamba hakuna ardhi,akaanza kuwasambaza wahutu huko mipakani..kwa hiyo kuhusu kutambua dunia nzima ilijua RPF wapo na jeshi lake Habyarimana lilkuwa dhaifu.
 
Saiz yupo wapi huyo mlinzi?

Kwaio saiz PK anakuwa karibu ma Pogba magu kuna kitu anakusudia?

Dumelang
TZ ni nyumbani, na kwa sasa hakuna mtu ambaye anayeweza kumpa hifadhi km kitanuka zaidi ya TZ. So lazima apakumbuke nyumbani muda wote kwa kuwa ndio kimbilio & tumaini pekee
 
Ndipo utaona kwamba kikwete alikuwa mzalendo kweli sio wale wanaojifanya kila siku waonekane wazalendo kwa kupiga makelele wakati vitendo ni opposite,kuna janga lilitokea jamaa wa IT jeshini alitoroka kurudi kwao Rwanda na mengineyo mengi kikwete akaanza kusafisha uozo cha ajabu leo haohao jamaa eti ndiyo ma best friend wetu hadi IGP Sirro anaenda kwenye mafunzo mafupi kigali,mara sijui wanatuletea wataalamu wa IT.
 
huyo mwandishi yupo UK,Croydon ,south london,ni Dr wa magonjwa ya akili.serikali ya UK inamlinda kiaina ,last year mwezi wa tatu ,scotland yard walimpa warning kwamba kagame kaingiza watu UK kutakaa kumuua.
 
Kila kitu kina muda na wakati wake.Walikuwa akina Mobutu Seseseko lakini leo wa[po wapi? Viongozi katili katika ukanda wa Afrika lazima kuna watu huwa wanawadhamini mpaka hao wadhamini wawachoke ndio hutolewa madarakani kama sio hivyo basi ni kifo pekee ndo muamuzi.
 
wa Afrika wengi huwa tunapenda kujiufariji kwa matukio yanatokea katika nchi jirani,mfano unakuta mtu anasema lazima huu uongozi katili lazima tuutoe kwa gharama yoyote ile mbona Sudan wameweza ikumbukwe tuu waliomueka madarakani ndio wamemtoa.
 
huyo mwandishi yupo UK,Croydon ,south london,ni Dr wa magonjwa ya akili.serikali ya UK inamlinda kiaina ,last year mwezi wa tatu ,scotland yard walimpa warning kwamba kagame kaingiza watu UK kutakaa kumuua.

After a hard week working as a mental health nurse manager, Noble Marara was relaxing at home with his family when they were visited by two police officers, Times magazine UK


Sahihisha sio Doctor acha kuharibia fani za wataaluma, huyu ni mental health nurse manager, na amekuwa manager sababu alikuwa mental health nurse kwanza
 
Unafahamu kuna Dr of nursing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…