Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,210
Naomba link ni download na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu mtu tumie ichp kitqbu tosome na ssNipo chapter 3 Mkuu, so far unaweza kulia.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Iddi AminHalafu mbali na Tanzania. Nchi nyingine zote za Afrika mashariki hazijawahi kuwa na marais waislamu. Sijajua wanakwama wapi
Embu mtu tumie ichp kitqbu tosome na ss
Siyo muslim, hayo ni majina ya kazi. Hata hilo jina lake Yoweri Kaguta Museveni ni la kuungaunga, baba yake alikuwa askari kwenye vita ya pili ya dunia ambayo East Africa ilipigana upande wa Uingereza ambapo jeshini alikuwa katika battalion ya 7 ya kikosi chake, wenyewe wakijiita 'baseveni' yaani wa battalion ya saba, wenzao wakitaja mmojammoja kama 'museveni'. Kwahiyo hii siyo surname halisi, ni jina la members wa battalion hiyo. Museveni ametumia jina hili makusudi kuficha asili yake halisi.Museveni ni muslim ?
Salim Saleh ni mdogo wake Museveni. Hilo jina ni bandia, nom de guerre, jina lake halisi ni Caleb Akandwanaho na wala siyo muislamundugu yake na Museveni kivipi wakati huyo Saleh ni muislam na Museveni ni mkatoliki?
aiseee hilo la salim saleh nimelijua hapa jukwaani ila la museveni na Rwigema sikujua.LONG LIVE JF KUNA AKILI NYINGI SANA HAPA. tupe madini mkuu najua umeandika kidogo tuSiyo muslim, hayo ni majina ya kazi. Hata hilo jina lake Yoweri Kaguta Museveni ni la kuungaunga, baba yake alikuwa askari kwenye vita ya pili ya dunia ambayo East Africa ilipigana upande wa Uingereza ambapo jeshini alikuwa katika battalion ya 7 ya kikosi chake, wenyewe wakijiita 'baseveni' yaani wa battalion ya saba, wenzao wakitaja mmojammoja kama 'museveni'. Kwahiyo hii siyo surname halisi, ni jina la members wa battalion hiyo. Museveni ametumia jina hili makusudi kuficha asili yake halisi.
Mdogo wake Museveni huyo mnayemfahamu kama Salim Saleh, hili pia siyo jina halisi, ni nom de guerre (jina bandia la kutumia vitani). Jina lake halisi anaitwa Caleb Akandwanaho (utaona hata jina 'Museveni' halipo).
Hata mwanzilishi wa RPF Marehemu Col Fred Rwigema jina lake halisi lilikuwa Emmanuel Gisa, hilo lingine lilikuwa nom de guerre.
aiseee hilo la salim saleh nimelijua hapa jukwaan(siku zote nilikuwa nadhani alibadili dini)i ila la museveni na Rwigema sikujua.LONG LIVE JF KUNA AKILI NYINGI SANA HAPA. tupe madini mkuu najua umeandika kidogo tuSiyo muslim, hayo ni majina ya kazi. Hata hilo jina lake Yoweri Kaguta Museveni ni la kuungaunga, baba yake alikuwa askari kwenye vita ya pili ya dunia ambayo East Africa ilipigana upande wa Uingereza ambapo jeshini alikuwa katika battalion ya 7 ya kikosi chake, wenyewe wakijiita 'baseveni' yaani wa battalion ya saba, wenzao wakitaja mmojammoja kama 'museveni'. Kwahiyo hii siyo surname halisi, ni jina la members wa battalion hiyo. Museveni ametumia jina hili makusudi kuficha asili yake halisi.
Mdogo wake Museveni huyo mnayemfahamu kama Salim Saleh, hili pia siyo jina halisi, ni nom de guerre (jina bandia la kutumia vitani). Jina lake halisi anaitwa Caleb Akandwanaho (utaona hata jina 'Museveni' halipo).
Hata mwanzilishi wa RPF Marehemu Col Fred Rwigema jina lake halisi lilikuwa Emmanuel Gisa, hilo lingine lilikuwa nom de guerre.
Wewe ndiyo mwongo. Baba yao ni mmoja anaitwa Amos Kaguta na alikuwa na watoto watatu ambao ni Yoweri, Violet na Caleb (a.k.a Salim Saleh). Caleb hakuwahi kubadili dini, hilo jina Salim Saleh ni jina la kazi tu.acha uongo wako salim saleh na museven wamechangia mama, baba tofauti baba ake ni muislam. na museven ni mkristo. hivi hujui museven ana mtoto moshi na mama yake ni mchaga?
Na pia ilikuwa tahadhari ya kifamilia ili isiwe rahisi adui kujua wapi pa kumhujumu kamanda YoweriMkuu hauko sahihi. Salim saleh ni jina lake la kivita (nom de guerre). Ukiwa vitani inabidi kutumia jina la kivita tofauti na jina lako halisi. Hii ni kwa sababu mawasiliano (kwa wakati huo mainly radio calls) yanaweza kuwa intercepted na adui. Jina hili la kivita linatumika ili hata adui akisikia mazungumzo yenu asielewe chochote, kwa sababu majina mnayajua nyinyi wenyewe tu. Salim saleh lilikuwa ni jina la huyu bro la kivita.
Imetokea tu kuwa hata walipotoka vitani jina la salim saleh likawa limemganda ndio maana analitumia mpaka leo.
Jinga weee
Salim Saleh ni mdogo wake Museveni. Hilo jina ni bandia, nom de guerre, jina lake halisi ni Caleb Akandwanaho na wala siyo muislamu
Mkuu mleta uzi ni muhimu kusoma hicho kitabu ukiwa na Akiba ya jicho la tatu. Haifai kuweka hapa maandishi na simulizi na madai ya huyo mwandishi ukasema ndio ukweli na kuanza kumhukumu Kagame. Tungepata vitabu kadhaa vya pande mbili au hata pande 3 tujue ukweli umelala wapi. Lakini kumsikiliza huyu bodyguard mmoja sikubaliani nayo kabisa. Hata mimi nitakitafuta kitabu hiki nikisome na kuendelea kufanya utafiti Zaidi kuhusu Kagame, lakini ukweli ni kwamba kwenye kuongoza haswa unapotaka kuweka mambo sawa hutakosa maadui huo ndio ukweli. Kuna mengi mazuri na mabaya mengi tunasikia kuhusu Kagame lakini pia tunasikia Rwanda inaendelea vizuri sana kiuchumi sasa labda Wanyarwanda watuambie kama Kagame amesaidia nchi au la. Kwenye kuongoza nchi na kuleta mabadiriko ya jamaa mengi sana mabaya hupitiwa hakuna taifa lilifanikiwa duniani bila kupita kwenye wakati ambao sio wa kujivunia soma nchi za Ulaya, Marekani, Asia wenzetu walipita vipindi vibaya sana lakini leo wako wapi…? Hebu tuwe na akili ya mtu mzima.
Hahahahaaaa🤣🤣🤣 Sasa rafiki yangu, unajua kuandika kitabu sio kazi rahisi, inahitaji fedha mpaka utakapo fika stage ya kukichapisha. Mara nying mtu huandika kitabu kwa malengo maalum, hasa hasa kujipatia kipato kwa mtu kama huyu anayeishi kwa kutegemea shirika la wakimbizi limpatie ruzuku sidani kama ni rahisi ku take all trouble mpaka kuchapisha kitabu halafu akigawe free kwa kila anayehitaji ku kisoma. Think about it and you will find the reasons in my post that you commented on.Wewe mtusi umetumwa!!!!!!!
Lisemwalo lipo hasa anavyofanya kwa kuua makamanda wenzake nalo hilo anasingiziwa pakawe mnapenda kutetea waharifu sijui kwa nini. Nyerere alisha sema afadhari mjinga akielimishwa yanaisha mpumbavu ni sifa kama ifupi na urefu nadhani umejifahamu kundi lako. UVCCMInaweza kuwa propaganda tu,hakuna uthibitisho hapa kama Kagame kufanya hayo yote
Sent using Jamii Forums mobile app