Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Leta ya upande wa pili tuoanishe mnasemasema tu sisi tunaamini kwa sababu nyingi tu. Juzi kamuua msemaji wa upinzani, kamfunga na kumfirisi dada aliyetaka kugombea urais mlivyo watetezi msio na fikra mnadhani hatumpendi pk nyosheni maelezo. Vikosi vyake vilikiwa moroni juzi leteni hoja siyo ubishi tu basi pk ni hatari kuliko jata sjetani mwenyewe tunapoona mkuu wetu anakuwa na urafiki na mtu wa aina hii tunaogopa.
 
Hao makamanda ni Watusi au Wahutu?
 
Yaani Mungu anapendwa watu wanavyopotezwa?
 
Ongezea nyama: hifadhi ataipata kwenye awamu ya Magu tu!
Si awamu ya magu pekee bali kwa awamu zote. Kipindi cha awamu ya nne walipishana aliyekuwa mshika-dau zikiwa ni tofauti binafsi ambazo bila shaka zilikuwa ni za ki-maslahi binafsi zaidi
 
Duh.. huyo ibilisi amekuwaje rafiki kipenz wa Pombe??!
 
Aisee mwamba akijimix kuingia ubalozi wa Rwanda wanaweza kum-kashogi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wawe waangalifu kweli kwani huyu bwana ni highly trained commando of the highest order na kwa vile anaelewa kinacho endelea, anakuwa mwangalifu sana na pia nadhani wale waliompa hifadhi ya ukimbizi nao watasaidia kumpa ulinzi.
 
Kuna sehemu mwandishi anaandika kuwa 'kuna mwanajeshi mmoja wa RPF alienda kulalamika kwa Kagame kuwa Kabarebe anatumia nafasi yake kulazimisha mahusiano na demu wake wakati anajua fika kaberebe ana UKIMWI, huyo mwanajeshi akaundiwa zengwe na kupotezwa'..

Nina ujuzi wa kugundua muathirika wa muda mrefu wa ukimwi kwa macho tu hivyo nika google picha za kaberebe na kugundua kuwa mwandishi kaandika ukweli..

Hivyo nimekiamini kitabu hiki..
 
Hongera kwa ujuzi ulionao mkuu
 
Nimesoma kitabu cha noble marara kinachoitwa behind the presidential curtain kwa kweli yaliyokuwa yanapangwa na kagame dhidi ya kikwete wakati huo wa kutafuta Amani kongo ni mambo ya hatari sana.Ushiriki wa kagame katika kufanya kongo isitawalike na kikwete kumwabia live bia kupinda ilimuuma sana. amefanya majaribio mengi ya kuwashambulia wakuu wa nchii za maziwa makuu. Ebu tusome baadhi ya pages chache ndani ya kitabu hicho
 

Attachments

  • Screenshot_2019-05-05-19-23-15[1].png
    9.2 KB · Views: 49
  • Screenshot_2019-05-05-19-22-48[1].png
    24.5 KB · Views: 51
  • Screenshot_2019-05-05-19-21-08[1].png
    24.5 KB · Views: 51
  • Screenshot_2019-05-05-19-21-03[1].png
    28.3 KB · Views: 51
When someone dreams turned to be reflected as reality, whoever believe in it is a lazy in thinking.
The curtain is known by someone who put in the first place, others may just speculate.
 
Jamani AMANI yooooote hii iliyopo Rwanda leo. kutoka mauaji ya kimbari kama tulivyoona tukiwa kule USA yameisha nani alijitoa? eti alikuwa anasoma marekani si walimuona anafaa?

Kweli watu ni nyama ya matako. hivyo vighorofa kumi tu ndo vinawatoa roho. mnaomba afe vibaya mtu kama huyu.

Hao alowaua ni kwa sababu aliwawahi ila kifo kilikuwa chake yaani afe yeye kwani kujilinda ni makosa mbona wewe una miliki, mkuki, panga, bastora ya nini hiyo? badala ya kushukuru ndg zetu wako salama.mnaponda tumuogope!

Hata wewe ukiwa Rais utafanya hayohayo, ndo utakuwa mshenzi kweli. na tukiruhusu mkeo aseme unavyoficha wali chini ya kitanda ukisikia hodi! unaficha pesa kwa hawala, unadhurumiwa na hupendi wageni, unamtesa kila leo wengine hamtaki kuoa sababu una taka ule pesa yako mwenyewe, mke atakubanabana mbona hatusemi, Lazima ajilinde kama Rais na familia yake , awe tajiri si ametumikia nchi yake? fikra za kimaskini hizi kulaumu laumu tu, watu msiokuwa na talent ya uongozi mna midomo kunuka sana, hata mwandishi wa kitabu mnafiki tu,mmekutana au mnataka aishi kwenye nyumba ya makuti? kwenda jinga.
 
BEING A PRESIDENT OF BLACKS IS NOT A BED OF ROSES, IT NEED HUMILIATIONS AND SACRIFICES, FROM EVERY ONE OF YOU.
 
Hapo mkuu umem-exaggarate sana huyu jamaa, hana uwezo huo mbele ya TZ
 
Hapo mkuu umem-exaggarate sana huyu jamaa, hana uwezo huo mbele ya TZ
Mkuu umeni quote vibaya. Ninachosema ni kwamba tum block Kagame asije Magogoni kwani anaweza kumuambukiza JPM udikteta (au kwa lugha nyingine, wanaweza kuambukizana udikteta) ikawa hatari kwa raia wasiokuwa na hatia.
 

Mkuu tunaomba hizo mbinu nasisi tupate kujikingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…