Ukiwa na mke mzuri ana wezere lzmaJana nilitamani nikimalize kukisoma hadi macho yakavimba. Niliona namna alivyokuwa anawat..o.mb.ea rafiki zake huku akiwa na wakinzi wake bila huruma!! Mkuu ili watu waenjoy na kumfahamu huyu rafiki wa JPM naomba utafasiri kwa kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu,ni muhimu tujue haya yote sababu system ya awamu ya tano ilivyomkumbatia huyu mtu inasikitisha sana haswa ukichukulia awamu hii imejaa wachumia tumbo,hawaangalii mbele future ya watoto wetu,naogopa sana Tanzania ya mbele nina hakika mr slim anatujua hadi chupi yetu sasa hivi.TUKIMALIZA HUU MJADALA NITAWEKA LINK NYINGINE YA KITABU CHA DAVID HIMBARA ALIYEKUWA MSHAURI MKUU WA KAGAME KINAITWA KAGAME'S KILLING FIELDSJana kwangu ilikuwa siku nyingine ya kufurahia kuwa sehemu ya member wa jamii forum. Hii ilitokana mwanajamii mmoja nzagambadume kupost link ya kitabu kilichoandikwa na mlinzi wa raisi Kagame aliyekimbilia UK kuepuka kifo kilichokuwa tayari mlangoni mwake.
KWA NINI NAMTAJA KIKWETE NA MEMBE
Kwanza ijulikane wazi kuwa Watanzania wengi tulifahamu kuwa Kikwete alikuwa raisi mpole na kufikia hatua ya tukamuita raisi dhaifu aliyezungukwa na marafiki wabaya (walio na hulka ya kujinufaisha wao na familia zao). Nakumbuka nikiwa navuka Mtukula kwenda Kampala siku hiyo sitausahau hasa baada ya kukuta kundi la raia wa Rwanda wakiwa na mizigo yao wakifurushwa kurudishwa Rwanda bila kujali walikuwa na mifugo au makazi,wameoa Watanzania au Watanzania wamewaoa walilazimishwa kurudi makwao kwa amri ya raisi Jakaya Kikwete!!.
Pale mpakani alikuwepo mama mmoja na mwanae wamelala kandoni kidogo mwa barabara huku mtoto akiwa na hali mbaya bila nguo ndipo utu wa Kitanzania niliuona pale kwani yule mama kama alitoka hapo basi hatasahau maisha yake yote kwani alichangiwa na abiria wa Kitanzania kwa kupewa vyakula, nguo na pesa na katika basi gumzo ilikuwa Kikwete ana bifu na Kagame lao binafsi lkn limesababisha hadi wasiohusika wanataabika ukweli hata mimi nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanamshutumu raisi. Tulienda mbali kwa kusema huu ukatili si angeuelekeza kwa wezi walioko serikalini mwake lkn msimamo wa Kikwete ulikuwa palepale na hadi anatoka madarakani sikumbuki kama Kikwete alishawahi kwenda ziara Rwanda.
MEMBE ambaye alikuwa mtu wa karibu wa raisi Kikwete wengi tulijua ni usalama wa Taifa (TISS) hivyo tulifahamu kuwa linalotokea baina ya Tanzania na Rwanda basi kwa namna moja Membe alikuwa anafahamu tukizingatia kuwa alishakuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka kadhaa.
KITABU CHA NOBLE MARARA
Kitty hiki ukianza tu kukisoma sio tu utastaajabu usiyoyafahamu kuhusu Kagame ila utashangaa kwa nini tuna urafiki na mtu dizaini hii (Kagame na Rwanda). Kitabu kimemweka wazi Kagame maisha yake,tabia yake,ukatili wake,namna anavyosuka mipango ya mauaji na namna anavyoplan kujisafisha namna alivyokuwa anazini na wake za watu wake wa karibu akiwa analindwa na ma body guards wake!!
Mtu anayeandika kitabu hiki kumbuka ni mtu aliyekuwa anamlinda Kagame kuanzia asubuhi gadi asubuhi nyingine, yeye mwenyewe kashiriki mauaji akifikiria anailinda Rwanda na Kagame kumbe ni chuki na kujiimarisha tu kwa Kagame rafiki wa karibu wa Tanzania kwa sasa!! Hadi anatoroka alikuwa tayari yuko kwenye target za Kagame
Katika haya maelezo mafupi sana nimeelewa sasa kuwa Mh. raisi Mstaafu Kikwete alibaini na kujilidhisha pasipo shaka kuwa urafiki na huyu mtu sio kabisa hasa baada ya majeshi ya Tanzania kuwapa kichapo M23 jeshi katili la Kagame kipindi hicho huko DRC
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu dadavua kiongoz.Kagame nimemaindi sana alipo mpiga yule beki 3 makofi, had kafukuzwa kazi kwa general........
Yule dada nadhan Ni Yule mzuri kule ambassador choir
Kagame umezingua hapa......
Kagame alipiga simu kwa doctor wake ikapokelewa na house girl mweye miaka 16 aliyekuwa ametoka kijijini akaamrisha ampe simu doctor dada akakataa maana jamaa alikuwa kalala,dada maskini hakujua anaongea na nani,kilichofata ni kagame kuamrisha msafara ujipange waende kwa doctor kumbuka mwandishi marara yote alikuwa anashhudia maana alikuweko PPU(presidential protection unity)
ahahha huyo Basi ni kichaa siyo bureee.Kagame alipiga simu kwa doctor wake ikapokelewa na house girl mweye miaka 16 aliyekuwa ametoka kijijini akaamrisha ampe simu doctor dada akakataa maana jamaa alikuwa kalala,dada maskini hakujua anaongea na nani,kilichofata ni kagame kuamrisha msafara ujipange waende kwa doctor kumbuka mwandishi marara yote alikuwa anashhudia maana alikuweko PPU(presidential protection unity)
kufika pale kauliza nani alipokea simu,ka dada kakasema ni mimi,Kagame kamrukia kamipga kama mwizi,vichwa,mateke,ngumi hadi doctor kaamka na kumuombea msamaha,ila kagame akaamuru yule binti afukuzwe kazi
yanasikitisha mengi humo,jamaa kagonga sana wake za washkaji zake,kaua sana na bado anaua,kapiga sana mke wake,kambadilisha mke wake kutoka kuwa sweet Mom hadi muuaji maana wife na yeye sasa hivi katili kukiwa na mipango ya kumpa U rais kama jamaa ataachiaNtakisoma badae
Nnyie ambao lugha haipandi ndio mnaotuharibia. Mnashindwa kusoma kingereza rahisi namna hii halafu mna simu janja kali mko JF.
Nyie ndio mnaopigia makofi kila kitu sababu hamjui tofauti ya maigizo na uhalisia. Eti Mods atafsiri mkafie mbele !!!!
OK inawezekana mko Kigali mnajua French zaidi ila kana ni Wabongo humu nendeni mkale maharage Mods hawezi kutafsiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayeandika store badala ya story ndo unawakashfu hapa watu
hebu kwanza karekebishe maandishi yako ndo urudi.
Binafsi huwa sipendi kuona kagame anakuwa karibu sana na Magu. Hope watu wetu wa usalama wanayajua hayoSaiz yupo wapi huyo mlinzi?
Kwaio saiz PK anakuwa karibu ma Pogba magu kuna kitu anakusudia?
Dumelang
Katika page ya 73 mwandishi Noble Marara ambaye ni bodyguard wake wa zamani anazungumzia roho ngumu ya jamaa akiwa na wasiwasi mkubwa wa mambo mabaya aliyowafanyia wahutu hapo Rwanda na Congo.
Kagame ali fake shambulio in 1998 kuua raia waliokuwa wakiangalia mpira hotelini ili awasingizie Interahamwe lakini aliyepewa jukumu la kusimamia hilo(captain Kwizera) alilewa chakari, matokeo yake askari wa RPF waliojifanya Interahamwe walifika hotelini hapo wakashangaa kuona kuna wanajeshi wa RPF nao wanaangalia mpira wakapiga simu kwa wakubwa yakatolewa maelekezo wale askari waondoke hapo haraka.
Raia wajanja walivyoona zile movement wakshtuka nao wakasepa, waliobaki ndani baadaye walikufa maana ile hoteli iliungua ikabaki majivu. Baadaye radio Rwanda ilitangaza ya kwamba shambulio lilifanywa na Interahamwe