Minzi Malulu
Member
- Jul 30, 2018
- 19
- 8
Nimeipata Soft Copy yake ngoja nisome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeyasema humu ndani kua mwandishi katika baadhi ya mambo ametia chumvi watu wakaanza kuniuliza kama mimi ni mhutu au mtusi? Mimi sio mnyarwanda lakini namjua huyu mwandishi. Kwanza tukumbuke ana miaka 19 hajakanyaga Rwanda, lakini ameachambua mambo yaliotokea huko baada ya yeye kutoroka nchi as if alikuepo. Ni vizuri pia kutomfanya kua only our reliable source ya yaliotokea. Katika kitabu chake hakuna mahali aiposema kua kuna hata operation moja aliohusika/shiriki. Za kuambiwa......
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema huyu mtu atakuja kufa kifo kibaya sana, ikiwa haya yaliozungumzwa humu ameyatenda kiukweli! Ni mtu katili mno na mara nyingi makatili hufa vifo vya fedhea sana. you live by the Gun, you die by the Gun!
vitani alikuwa muoga kuna siku walipigwa ambush ila technic ilkuwa ni wao kunyamaza kimya ili kumvuta na kumchanganya adui yeye kapaniki kaanza kufyatua ma risasi,wenzake wakakataa kuwa naye akarudishwa ofisini kwenyemambo ya intelejensia ambapo ndipo kwenye umahiri wake ikiwepo alishawahi kumsave museveni na jaribio la kupinduliwaMbona muonekano wake ndio huohuo tokea akiwa kijana Mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama yupo UK hataweza PK,labda kama jamaa angekuwa SA.......Sema huyu mtu atakuja kufa kifo kibaya sana, ikiwa haya yaliozungumzwa humu ameyatenda kiukweli! Ni mtu katili mno na mara nyingi makatili hufa vifo vya fedhea sana. you live by the Gun, you die by the Gun!
Aliuliwa na sniper alietumia bunduki ya Gen Rwigema. Gen. Rwigema alimpa sniper rifle kama zawadi. Na huyo sniper alichaguliwa na kagame pamoja na kijana mwingine wakaenda kusoma ukomandoo nje ya nchi so aliacha ameshawaanraa vijana wake kabla hajaenda masomoni. Na kumbuka pk alikuwa ni link kati ya jeshi na wanasiasa. Ndie alikuwa mshauri wa siada jeshini.Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.
Mwanzo kabisa amesema hata yeye alishiriki ila ni kwa kudhani ni kwa ajili ya inchi ila baadae akagundua alitumiwa. Na kuna sehem ameomba msamaha kwa wahangaNimeyasema humu ndani kua mwandishi katika baadhi ya mambo ametia chumvi watu wakaanza kuniuliza kama mimi ni mhutu au mtusi? Mimi sio mnyarwanda lakini namjua huyu mwandishi. Kwanza tukumbuke ana miaka 19 hajakanyaga Rwanda, lakini ameachambua mambo yaliotokea huko baada ya yeye kutoroka nchi as if alikuepo. Ni vizuri pia kutomfanya kua only our reliable source ya yaliotokea. Katika kitabu chake hakuna mahali aiposema kua kuna hata operation moja aliohusika/shiriki. Za kuambiwa......
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu kisomi mkuu... ubarikiwe!!!Mada ni sawa na gari la usafiri.
Ni vyema uchague gari la hadhi yako kuliko kuwakwamisha watu na safari yao kwa gari lao mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ki,vipi fafanua?Nikikumbuka "hadithi" za Idd Amin Dada na baadae kuja jufahamu kuwa ni sisi tuliomchokoza naona nibaki "neutral" kuhusu hiki kitabu!
Mkuu Nani alikula makofi?vitani alikuwa muoga kuna siku walipigwa ambush ila technic ilkuwa ni wao kunyamaza kimya ili kumvuta na kumchanganya adui yeye kapaniki kaanza kufyatua ma risasi,wenzake wakakataa kuwa naye akarudishwa ofisini kwenyemambo ya intelejensia ambapo ndipo kwenye umahiri wake ikiwepo alishawahi kumsave museveni na jaribio la kupinduliwa
lakini alikuwa pia katili sana huko hadi wakampa jina la utani PILATO,Siku moja kuna madogo wanajeshi walilewa akaamuru wawekwe lock up kuna mkubwa mmoja akaja kuwatoa wakaenda uwanja wa vita,waliporudi kagame akamuwakia yule jamaa,alikula makofi ya nguvu hadi akaanguka kuanzia siku hiyo akaanza kuvaabullet proof akiamini kuna wenzake wanamchukia watamuua anytime
kagame alipigwa
swadakta mkuu kuna kambi ipo kasulu mtabila ilikuwa ya wakimbizi sasa hivi ni kambi ya jkt kikwete aliwafukunza wakimbizi wote kumbe kulikuwa na kitu anahisi ingawa tulimsema vibaya kikwete lakini alikuwa anajua anafanya nini tumewachapa sana wakimbizi mtabila kumbe walikuwa wanajua wanafanya niniJana kwangu ilikuwa siku nyingine ya kufurahia kuwa sehemu ya member wa jamii forum. Hii ilitokana mwanajamii mmoja nzagambadume kupost link ya kitabu kilichoandikwa na mlinzi wa raisi Kagame aliyekimbilia UK kuepuka kifo kilichokuwa tayari mlangoni mwake.
KWA NINI NAMTAJA KIKWETE NA MEMBE
Kwanza ijulikane wazi kuwa Watanzania wengi tulifahamu kuwa Kikwete alikuwa raisi mpole na kufikia hatua ya tukamuita raisi dhaifu aliyezungukwa na marafiki wabaya (walio na hulka ya kujinufaisha wao na familia zao). Nakumbuka nikiwa navuka Mtukula kwenda Kampala siku hiyo sitausahau hasa baada ya kukuta kundi la raia wa Rwanda wakiwa na mizigo yao wakifurushwa kurudishwa Rwanda bila kujali walikuwa na mifugo au makazi,wameoa Watanzania au Watanzania wamewaoa walilazimishwa kurudi makwao kwa amri ya raisi Jakaya Kikwete!!.
Pale mpakani alikuwepo mama mmoja na mwanae wamelala kandoni kidogo mwa barabara huku mtoto akiwa na hali mbaya bila nguo ndipo utu wa Kitanzania niliuona pale kwani yule mama kama alitoka hapo basi hatasahau maisha yake yote kwani alichangiwa na abiria wa Kitanzania kwa kupewa vyakula, nguo na pesa na katika basi gumzo ilikuwa Kikwete ana bifu na Kagame lao binafsi lkn limesababisha hadi wasiohusika wanataabika ukweli hata mimi nilikuwa mmoja wa waliokuwa wanamshutumu raisi. Tulienda mbali kwa kusema huu ukatili si angeuelekeza kwa wezi walioko serikalini mwake lkn msimamo wa Kikwete ulikuwa palepale na hadi anatoka madarakani sikumbuki kama Kikwete alishawahi kwenda ziara Rwanda.
MEMBE ambaye alikuwa mtu wa karibu wa raisi Kikwete wengi tulijua ni usalama wa Taifa (TISS) hivyo tulifahamu kuwa linalotokea baina ya Tanzania na Rwanda basi kwa namna moja Membe alikuwa anafahamu tukizingatia kuwa alishakuwa waziri wa mambo ya nje kwa miaka kadhaa.
KITABU CHA NOBLE MARARA
Kitabu hiki ukianza tu kukisoma sio tu utastaajabu usiyoyafahamu kuhusu Kagame ila utashangaa kwa nini tuna urafiki na mtu dizaini hii (Kagame na Rwanda). Kitabu kimemweka wazi Kagame maisha yake,tabia yake,ukatili wake,namna anavyosuka mipango ya mauaji na namna anavyoplan kujisafisha namna alivyokuwa anazini na wake za watu wake wa karibu akiwa analindwa na ma body guards wake!!
Mtu anayeandika kitabu hiki kumbuka ni mtu aliyekuwa anamlinda Kagame kuanzia asubuhi gadi asubuhi nyingine, yeye mwenyewe kashiriki mauaji akifikiria anailinda Rwanda na Kagame kumbe ni chuki na kujiimarisha tu kwa Kagame rafiki wa karibu wa Tanzania kwa sasa!! Hadi anatoroka alikuwa tayari yuko kwenye target za Kagame
Katika haya maelezo mafupi sana nimeelewa sasa kuwa Mh. raisi Mstaafu Kikwete alibaini na kujilidhisha pasipo shaka kuwa urafiki na huyu mtu sio kabisa hasa baada ya majeshi ya Tanzania kuwapa kichapo M23 jeshi katili la Kagame kipindi hicho huko DRC
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamini ni kweli? Kama alikuwa muoga hivyo unadhani ilikuaje RPF ilikubali kuongozwa na kiongozi muoga?vitani alikuwa muoga kuna siku walipigwa ambush ila technic ilkuwa ni wao kunyamaza kimya ili kumvuta na kumchanganya adui yeye kapaniki kaanza kufyatua ma risasi,wenzake wakakataa kuwa naye akarudishwa ofisini kwenyemambo ya intelejensia ambapo ndipo kwenye umahiri wake ikiwepo alishawahi kumsave museveni na jaribio la kupinduliwa
lakini alikuwa pia katili sana huko hadi wakampa jina la utani PILATO,Siku moja kuna madogo wanajeshi walilewa akaamuru wawekwe lock up kuna mkubwa mmoja akaja kuwatoa wakaenda uwanja wa vita,waliporudi kagame akamuwakia yule jamaa,alikula makofi ya nguvu hadi akaanguka kuanzia siku hiyo akaanza kuvaabullet proof akiamini kuna wenzake wanamchukia watamuua anytime