Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

Mbona picha ya Kagame kwenye Cover page ya kitabu ina mapembe? Maana yake nini wajuvi wa mambo, mwandishi anaportrait (anaonyesha) nini kuhusu Kagame kupitia hizo pembe? Kwa kweli sijaelewa bado?
Jalada la kitabu limesadifu yaliyomo katika kitabu

Dhamira kuu ya kitabu ni unyama wa Paul Kagame hivyo zile pembe zinaakisi unyama huo kwa lugha ya picha.
 
Sababu ya kuwaua ikiwa nini? Nawaza kwa nguvu tu pale mwandikwa atakapomkamata mwandishi......
flag terrorism, ili kuwasingizia interahamwe wachukiwe kimataifa sababu anajua wale wahutu wana hasira naye,alishaua hadi watalii wazungu kwenye mbuga ya wanyama kusingizia waasi ili kupata sympathy ya jumuiya ya kimataifa
 
Jamani kwa kweli nawashauri mkisome hiki kitabu chote maana yaliyomo ni maovu makubwa sana. Kagame ni zaidi ya dikteta. Ni afadhali Idd Amin, Bokasa, Sanko na madikteta wengine mara 1000 kuliko Kagame. Huyu Kagame ni nyoka, yaani GREEN SNAKE IN GREEN GRASS. Kwa kuwa amekuwa akija Magogoni mara kwa mara, nina wasiwasi tayari ameishamuambukiza mkuu wa kaya. Naomba tumkemee huyu nyoka mwenye sumu kali asipende kuja hapa nchini mara kwa mara asije akatuletea shida siku za usoni.
 
Mkuu tupia vitabu vingine very navyomuhusu huyu jasusi hakika anafurahisha na kuhuzunisha ni jasiri asiyeogopa kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kwanini hujakwenda Shule?
 
Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.
 
Upande wa pili hauna nyimbo. Inaelekea kuna ukweli "fulani" kwenye hizi nondo kwa PK sababu jamaa wa Rwanda humu wamo lakini inaonekana wanahofu kubwa kuchangia uzi.

Wanaogopa kikosi maalum kitadukua simu zao wataishia pabaya. PK kawabana mpaka wanashindwa hata kupumua.

Hiyo ni dalili moja kwamba nondo za jamaa zina ukweli na mambo si shwari. Ajabu yenyewe hata wanaomshabikia PK nao wamefyata mkia.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe ulivyoelewa ni kwamba amemmuua yeye mwenyewe kwa mikono yake. Wewe ni Mhutu au Mtusi.

Hata mimi sikubaliani na mambo mengi lakini tulia una po comment sio kuropoka.
Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha alafu kwenye post zingine wanajidai at Wana mastes degree hahaha hapa kwenye lugha wanakuwa wapole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.
Hakumuua kwa mkoo wake alitumwa sniper aliyemdungua toka mlimani naye baadaye akauliwa kuficha siri,jiulize hadi leo kwa nini mjane wa Rwigema passport yake imekuwa confiscated na anaishi maisha ya tabu,kuna kipindi meja jenerali salim salehe alikuwa anamsaidia hela ila huo msaada ukakatwa nao kwa amri ya kagame.Its a matter of time mengi yatakuwa hadharani
 
Hahaha dictator kagame Ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam ukurasa wa 119 unaekeza jinsi mke wa kagame alivyo na roho mbaya,alimwekea sumu Mrs inyumba kisa alikuwa maarufu wakaona anawz kuwapindua
Mrs inyumba alikuwa mmoja wa waanzilish wa rpf aliyejitolea kwa Hali na mali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo Mr slim physique appearance anaonekana yupo ktk grid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda ni kuchafuana tu! Si kila kitu cha kuamini huenda mwandishi kazidisha chumvi ili kumpaka matope adui yake.
Nimeyasema humu ndani kua mwandishi katika baadhi ya mambo ametia chumvi watu wakaanza kuniuliza kama mimi ni mhutu au mtusi? Mimi sio mnyarwanda lakini namjua huyu mwandishi. Kwanza tukumbuke ana miaka 19 hajakanyaga Rwanda, lakini ameachambua mambo yaliotokea huko baada ya yeye kutoroka nchi as if alikuepo. Ni vizuri pia kutomfanya kua only our reliable source ya yaliotokea. Katika kitabu chake hakuna mahali aiposema kua kuna hata operation moja aliohusika/shiriki. Za kuambiwa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…