Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

huyo David hImbara alikuwa ni mshauri wa kagame,hicho nita kidownload leo nianze kukisoma kesho
 
Mbona muonekano wake ndio huohuo tokea akiwa kijana Mkuu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
vitani alikuwa muoga kuna siku walipigwa ambush ila technic ilkuwa ni wao kunyamaza kimya ili kumvuta na kumchanganya adui yeye kapaniki kaanza kufyatua ma risasi,wenzake wakakataa kuwa naye akarudishwa ofisini kwenyemambo ya intelejensia ambapo ndipo kwenye umahiri wake ikiwepo alishawahi kumsave museveni na jaribio la kupinduliwa
lakini alikuwa pia katili sana huko hadi wakampa jina la utani PILATO,Siku moja kuna madogo wanajeshi walilewa akaamuru wawekwe lock up kuna mkubwa mmoja akaja kuwatoa wakaenda uwanja wa vita,waliporudi kagame akamuwakia yule jamaa,alikula makofi ya nguvu hadi akaanguka kuanzia siku hiyo akaanza kuvaabullet proof akiamini kuna wenzake wanamchukia watamuua anytime
 
Sema huyu mtu atakuja kufa kifo kibaya sana, ikiwa haya yaliozungumzwa humu ameyatenda kiukweli! Ni mtu katili mno na mara nyingi makatili hufa vifo vya fedhea sana. you live by the Gun, you die by the Gun!
Kama yupo UK hataweza PK,labda kama jamaa angekuwa SA.......
 
Stori zakutunga hizi kutoka kwa maadui wa Kagame, sasa Kagame alimuuaje Rwigema wakati yeye Kagame alikuwa masomoni Uingereza Rwigema alivyouwa???sitaki hata kufuatilia habari hizi..jamaa wameshindwa vita sasa wamehamishia vita mtandaoni.
Aliuliwa na sniper alietumia bunduki ya Gen Rwigema. Gen. Rwigema alimpa sniper rifle kama zawadi. Na huyo sniper alichaguliwa na kagame pamoja na kijana mwingine wakaenda kusoma ukomandoo nje ya nchi so aliacha ameshawaanraa vijana wake kabla hajaenda masomoni. Na kumbuka pk alikuwa ni link kati ya jeshi na wanasiasa. Ndie alikuwa mshauri wa siada jeshini.

Leadermoe
 
Mwanzo kabisa amesema hata yeye alishiriki ila ni kwa kudhani ni kwa ajili ya inchi ila baadae akagundua alitumiwa. Na kuna sehem ameomba msamaha kwa wahanga

Leadermoe
 
Mkuu Nani alikula makofi?
kagame au huyo mkubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
swadakta mkuu kuna kambi ipo kasulu mtabila ilikuwa ya wakimbizi sasa hivi ni kambi ya jkt kikwete aliwafukunza wakimbizi wote kumbe kulikuwa na kitu anahisi ingawa tulimsema vibaya kikwete lakini alikuwa anajua anafanya nini tumewachapa sana wakimbizi mtabila kumbe walikuwa wanajua wanafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaamini ni kweli? Kama alikuwa muoga hivyo unadhani ilikuaje RPF ilikubali kuongozwa na kiongozi muoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…