Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mjadala:
Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025
Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika.
Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina:
Tafadhali tunaomba mawazo yako ni muhimu sana.

- Tutumie vyanzo vipi vya nishati ili tuzalishe umeme mwingi?
- Tutumie mbinu zipi kuzalisha umeme mwingi?
- Tutumie mbinu zipi za kusambaza umeme?
- Tutumie mikakati ipi ili kuhakikisha watu wote wanasambaziwa umeme?
- Tutumie mikakati ipi ili kuhakikisha tunakua na umeme wa kutosha wakati wote?