Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Gas, mafuta, geothermal na maji ndio vyanzo rafiki zaidi vya umeme Africa kwa sasa.Mjadala:
Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025
Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika.
Huu ni mjadala wawadau na wataalam wa nishati hapa jukwaani.
Tafadhali tunaomba mawazo yako ni muhimu sana.
Yale mabasi ya CCM hela ake ingetolewa kama ruzuku kwenye gas tungekuwa mbali snKuna mdau humu aliwahi shauri hivi kwa kuwa umeme wa REA umefika vijiji vingi Tanzania ni bora gesi itumike kuzalisha umeme wa bei nafuu huku serikali ikipunguza Kodi kwenye vifaa vya kutumia umeme kama majiko ili kila mwananchi aweze tumia umeme.
Shida ya viongozi wetu ni kukosa maono.
Hatujawahi kupungukiwa vyanzoMjadala:
Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025
Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika.
Huu ni mjadala wawadau na wataalam wa nishati hapa jukwaani.
Tafadhali tunaomba mawazo yako ni muhimu sana.
Ukichukulia nchi yetu kama case study, jiulize kama taifa ni sector ipi ambayo tunaweza toka mbele tunajipiga vifua kuwa ktk hili tumefanikisha angalau kwa asilimia 80, it's all business as usual..ni mambo yanajadiliwa na kuwekwa kwenye makabrasha tu.M300 kuni mpango mzima(firewood)
Kwasababu kinachoimbwa tofauti kwenye vitendoz
Kuna mdau humu aliwahi shauri hivi kwa kuwa umeme wa REA umefika vijiji vingi Tanzania ni bora gesi itumike kuzalisha umeme wa bei nafuu huku serikali ikipunguza Kodi kwenye vifaa vya kutumia umeme kama majiko ili kila mwananchi aweze tumia umeme.
Shida ya viongozi wetu ni kukosa maono.
Wameanza leo wanamaliza keshoMjadala:
Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025
Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika.
Huu ni mjadala wawadau na wataalam wa nishati hapa jukwaani.
Tafadhali tunaomba mawazo yako ni muhimu sana.
Wazo zuriMuhimu tujenge hydropower kwenye potential area zote. Kwa pesa zetu wenyewe.
Kisha mambo ya gesi tufanye kwa PPP
Ndio unaisha keshoWameanza leo wanamaliza kesho
Lakini mkutano unazungumzia umemeM300 kuni mpango mzima(firewood)
Kwasababu kinachoimbwa tofauti kwenye vitendoz
nimekuambia kuni ndo mpango mzima makaratasi hayazuiliwi kujadiliwaLakini mkutano unazungumzia umeme
Mla Bata mchango wako unahitajika hapa wewe ni expert wa umeme mwaga maelezoTafadhali tunaomba mawazo yako ni muhimu sana.
Mtue Mama Kizi Mkazi kuni kichwani, kwani hizo kuni alimtwisha nani?nimekuambia kuni ndo mpango mzima makaratasi hayazuiliwi kujadiliwa