Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jan 27, 2025 Thread starter #21 kina kirefu said: nimekuambia kuni ndo mpango mzima makaratasi hayazuiliwi kujadiliwa Click to expand... Tunaomba tueleze jinsi utakavyo tumia kuni kuzalisha umeme
kina kirefu said: nimekuambia kuni ndo mpango mzima makaratasi hayazuiliwi kujadiliwa Click to expand... Tunaomba tueleze jinsi utakavyo tumia kuni kuzalisha umeme
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 27, 2025 #22 Chanzo kikubwa ni maji. Vyengine ni nje ya uwezo wetu,hujuma kila kona
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jan 27, 2025 Thread starter #23 Tuendelee kujadili
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jan 28, 2025 #24 Meneja Wa Makampuni said: Tunaomba tueleze jinsi utakavyo tumia kuni kuzalisha umeme Click to expand... Chukulia mfano wa garimoshi
Meneja Wa Makampuni said: Tunaomba tueleze jinsi utakavyo tumia kuni kuzalisha umeme Click to expand... Chukulia mfano wa garimoshi
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jan 28, 2025 Thread starter #25 kina kirefu said: Chukulia mfano wa garimoshi Click to expand... Mkuu acha utani huwezi kuzalisha umeme kwa kuni kwasasa. Hizo ni teknolojia za zamani sana.
kina kirefu said: Chukulia mfano wa garimoshi Click to expand... Mkuu acha utani huwezi kuzalisha umeme kwa kuni kwasasa. Hizo ni teknolojia za zamani sana.