Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Unaambiwa ukitumia hiyo dawa unapona ila kale kamchezo ukaache. Sasa kama wametumia na wakarudia kamchezo kao basi lazima ali iwe mbaya zaidi ya pale awali.Jana kuna mgombea Ubunge mmoja ameniambia kuna daktari amemueleza kwamba kuna wagonjwa wawili wa HIV wameenda kunywa hiyo dawa ila nao its worse!
Kumbe wanadamu tuna matatizo mengi sana pakuyapeleka ndio hakuna hilo sasa nimeamini!!! hizi hospitali na makanisa yooote huyu babu kawapiku na kweli anatibu mana mimi nina rafiki yangu Arusha alikua na matatizo ya unyumba kwamba ( jogoo yake haifanyi ) kwa hiyo mkewe akaja juu kijana wa miak 29 haisimami?!! ameenda huko juzi leo amesema hawajalala amerudi ana nguvu kama simba!! true story

Mi naomba ukifika tafiti juu ya mambo yafuatayo;
- Kuna uwezekano wa kutatikana kiwanja jirani, mjasiriamali akaenda kujenda hapo kijibanda cha huduma muhimu na ka-gesti?
- Huyo Dr anakuwa na mda kiasi gani cha kuzalisha hiyo dawa kuwahudumia watu mda wote mfululizo/
- Hiyo dawa inatibu kwa uwezo wa miti shamba, au 'imeombewa'?
- Je, akiugua au hata kufariki huyo Dr, kuna uwezekano akampa mtu mwingine uwezo wa kuitoa/
- Je, analifikiriaje suala la kuitoa hiyo dawa kwa watafiti ili ikajaribiwe maabara?
- Kwa nini nauli ni kubwa kiasi hicho, ni umbali, au ubovu wa barabara, je kuna uwezekano huyo Dr pengine akahamishia lituo chake maeneo yanayofikika kirahisi, kama mjini kwa mfano?
Asante.
dah!
Inabidi watakaoenda wawe na ruhusa ya kutoenda job j3.
Kwani kumuona huyo mtu mnaingia kwa utaratibu upi?
Kama wanaandika majina kwanza, tafuteni mtu ambae yupo huko awaandikie majina ili mjue nafasi zenu kama itawezekana kumuona ndani ya siku hizo.
Kuhusu vyakula mnaweza kubeba bites na nyama za kukaushwa au kukaangwa.
Poleni ila kama mmeamua nyie nendeni msikate tamaa mapema. Nionavyo foleni itazidi kuongezeka. Sasahivi mtasikia majirani nao wanaenda.
mbona kila mtu anasema "KUNA MTU KAENDA....KUNA MTU KAENDA".......mi nataka kumsikia huyo MTU KAENDA aje hapa aseme mwenyewe.....acheni uzushi.