Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Unaambiwa ukitumia hiyo dawa unapona ila kale kamchezo ukaache. Sasa kama wametumia na wakarudia kamchezo kao basi lazima ali iwe mbaya zaidi ya pale awali.Jana kuna mgombea Ubunge mmoja ameniambia kuna daktari amemueleza kwamba kuna wagonjwa wawili wa HIV wameenda kunywa hiyo dawa ila nao its worse!
Hata Yesu alisema akitoa majini, huwa yanaenda kurandaranda, yakikosa sehemu nyingine huwa yanarudi, na yakikuta nyumba yako ni nzuri kwayo (umerudia dhambi), basi hukaa humo humo na hali huwa mbaya sana.