Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Jana kuna mgombea Ubunge mmoja ameniambia kuna daktari amemueleza kwamba kuna wagonjwa wawili wa HIV wameenda kunywa hiyo dawa ila nao its worse!
Unaambiwa ukitumia hiyo dawa unapona ila kale kamchezo ukaache. Sasa kama wametumia na wakarudia kamchezo kao basi lazima ali iwe mbaya zaidi ya pale awali.
Hata Yesu alisema akitoa majini, huwa yanaenda kurandaranda, yakikosa sehemu nyingine huwa yanarudi, na yakikuta nyumba yako ni nzuri kwayo (umerudia dhambi), basi hukaa humo humo na hali huwa mbaya sana.
 
Mi naomba ukifika tafiti juu ya mambo yafuatayo;

  1. Kuna uwezekano wa kutatikana kiwanja jirani, mjasiriamali akaenda kujenda hapo kijibanda cha huduma muhimu na ka-gesti?
  2. Huyo Dr anakuwa na mda kiasi gani cha kuzalisha hiyo dawa kuwahudumia watu mda wote mfululizo/
  3. Hiyo dawa inatibu kwa uwezo wa miti shamba, au 'imeombewa'?
  4. Je, akiugua au hata kufariki huyo Dr, kuna uwezekano akampa mtu mwingine uwezo wa kuitoa/
  5. Je, analifikiriaje suala la kuitoa hiyo dawa kwa watafiti ili ikajaribiwe maabara?
  6. Kwa nini nauli ni kubwa kiasi hicho, ni umbali, au ubovu wa barabara, je kuna uwezekano huyo Dr pengine akahamishia lituo chake maeneo yanayofikika kirahisi, kama mjini kwa mfano?

Asante.
 
Mungu mwenyezi sasa awaonee huruma wanadamu dawa ya maana ipatikane, ona wanavyohangaika!!
Hivi ile ya Marekani vipi jamani maana tuliambiwa inauwezo wa kutibu kwa 90%?
Mwananchi hao hao walisema WHO imesema TZ itakuwa miongoni mwa nchi ya kwanza kupata!
 
Inawezekana hakuna ukweli wowote ila kwa sababu watu wengi walio wagonjwa wamekata tamaa wakiambiwa chochote tu wanajaribu. Mimi nitaamini tu endapo kuna mgonjwa aliyethibitishwa na daktari na baada ya kutibiwa akathibitishwa tena amepona. Short of it hakuna ukweli.
 
Kumbe wanadamu tuna matatizo mengi sana pakuyapeleka ndio hakuna hilo sasa nimeamini!!! hizi hospitali na makanisa yooote huyu babu kawapiku na kweli anatibu mana mimi nina rafiki yangu Arusha alikua na matatizo ya unyumba kwamba ( jogoo yake haifanyi ) kwa hiyo mkewe akaja juu kijana wa miak 29 haisimami?!! ameenda huko juzi leo amesema hawajalala amerudi ana nguvu kama simba!! true story

Aisee!
 
hivi hao wanaopona ukimwi wanaenda kupimwa tena angaza kuona kama hawana maambukizi?

just curious....
 
Niko hapa nasubiria update kutoka kwenu wakuu. Always Mungu yupo, na hakuna kilicho kigumu kwake.
 
He... Jamani kama naamshwa usingizini hivi... Huyo babu ni nani,, kaanza lini hizo kazi na kivipi alikuwa advertized hadi mkwere ameenda kama nilivyosoma humu!! anatibu nini na nini na gharama zake. Nifumbueni macho wajameni sIfahamu chochote ingawa nimo humuhumu TZ.!!!!:A S 13:
 
Kumbe wanadamu tuna matatizo mengi sana pakuyapeleka ndio hakuna hilo sasa nimeamini!!! hizi hospitali na makanisa yooote huyu babu kawapiku na kweli anatibu mana mimi nina rafiki yangu Arusha alikua na matatizo ya unyumba kwamba ( jogoo yake haifanyi ) kwa hiyo mkewe akaja juu kijana wa miak 29 haisimami?!! ameenda huko juzi leo amesema hawajalala amerudi ana nguvu kama simba!! true story

Ebanaeh!!!! Du!!! Unaona sasa.. huyu mutu iko juu.. nijuzeni habari zake please...:A S 13:
 
HTML:
Mi naomba ukifika tafiti juu ya mambo yafuatayo;

  1. Kuna uwezekano wa kutatikana kiwanja jirani, mjasiriamali akaenda kujenda hapo kijibanda cha huduma muhimu na ka-gesti?
  2. Huyo Dr anakuwa na mda kiasi gani cha kuzalisha hiyo dawa kuwahudumia watu mda wote mfululizo/
  3. Hiyo dawa inatibu kwa uwezo wa miti shamba, au 'imeombewa'?
  4. Je, akiugua au hata kufariki huyo Dr, kuna uwezekano akampa mtu mwingine uwezo wa kuitoa/
  5. Je, analifikiriaje suala la kuitoa hiyo dawa kwa watafiti ili ikajaribiwe maabara?
  6. Kwa nini nauli ni kubwa kiasi hicho, ni umbali, au ubovu wa barabara, je kuna uwezekano huyo Dr pengine akahamishia lituo chake maeneo yanayofikika kirahisi, kama mjini kwa mfano?

Asante.

Ukitaka kujenga huko it is for your own risk maana inasemekana uwezo wa mchungaji huyu hauwezi kuhamishwa kwa mtu mwingine, that means akitoweka basi na huduma hiyo itakuwa imekoma hapo.
Umbali wa kwenda huko ni zaidi ya kilomita mia tatu na hamsini na kati ya hizo zaidi ya kilomita mia mbili ni rough road. so go and return ni zaidi ya 700+
 
Kuna timu ya jf imeenda huko pamoja na kupata tiba vile vile kupata ukweli wa kina wa taarifa. Tunaomba mchukue kila kinachoweza ku-support ukweli zikiwemo picha coz hii habari ni kubwa.
 
HTML:
dah!
Inabidi watakaoenda wawe na ruhusa ya kutoenda job j3.
Kwani kumuona huyo mtu mnaingia kwa utaratibu upi?
Kama wanaandika majina kwanza, tafuteni mtu ambae yupo huko awaandikie majina ili mjue nafasi zenu kama itawezekana kumuona ndani ya siku hizo.
Kuhusu vyakula mnaweza kubeba bites na nyama za kukaushwa au kukaangwa.
Poleni ila kama mmeamua nyie nendeni msikate tamaa mapema. Nionavyo foleni itazidi kuongezeka. Sasahivi mtasikia majirani nao wanaenda.

Tatizo hili limetokana na watu wengi kutofuata utaratibu wa kupanga foleni, kila mtu anataka awe wa kwanza ili awahi kurudi, matokeo yake msangamano umekuwa mkubwa mno. (taarifa nimepata kutoka kwa mtu aliyerudi leo)
 
mbona kila mtu anasema "KUNA MTU KAENDA....KUNA MTU KAENDA".......mi nataka kumsikia huyo MTU KAENDA aje hapa aseme mwenyewe.....acheni uzushi.

You ve got a big point. Aje mtu aseme...
 
Mnaweza kwenda kulala Wasso (makao makuu ya wilaya ya Loliondo). Kisha asubuhi mkadamkia kwenda Sonjo kwa huyo Mchungaji,si mbali sana ukitokea Wasso,ingawa hapo Wasso hakuna umeme(gest houses(tsh. 10000) wanatumia solar energy ambayo si ya uhakika kutokana hali ya jua hapo kua na utata wakati mwingi. Pia kuna baridi ya kufa mtu). Though hii naona option hii ndo better kwenu kutokana na situation yenu ilivyokaa.
 
Niambieni basi huyo mutu kaibukia wapi??:A S 13:
 
habari za kuaminika ni kuwa pinda ameshakunywa, sijui nae atapona vvu yake
 
kwa nini mnaondoka usiku,
na mie napenda kujiunga na huo msafara ila nimechelewa kuzisoma taarifa.
kama pangeni tena next week ili tupange sawa mambo ya ofisi then tuanze safari.
nasubiri mengi toka kwenu.
BIG UP PJ
 
Interesting.
Pj, sv and the rest in arachuga, tunangoja live updates. Kila la heri kwenye peparations.
Dar - HQ tutakuja baada ya nyie kurudi.
 
Back
Top Bottom