Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,133
Kuna mawasiliano ya simu huko?
Kuna taarifa kuwa mgonjwa mmoja mwenye asili ya ki-asia amepoteza maisha baada ya kuzidiwa kwenye foleni ya kusubiri tiba ya mchungaji wa loliondo.
Inasemekana viongozi wa kiserikali na matajiri wakubwa wanatumia nyadhifa zao 'kuchakachua' na kuwaacha walalahoi wakisubiri foleni.
USHAURI:Chonde chonde wagonjwa mnaoenda huko chukueni dawa zenu za kawaida kwani huduma inachelewa sana.
wakati tunatoka huku kumchukua shemeji magari yalikuwa mengi sana kwa kukadiria ni kama 2000.... na yamepaki barabarani....ile nageuza gari nikapishana na makamba nae....nimemwacha huko.
Hii isiwe ni dogma ... alternative medicine ziko dunia nzima..
..ziko chinese medicine...ziko indian medicine... ziko German medicine... NA ZOTE ZINAHAKISHIKA
Kama ni spiritual healing..Wako Spiritual leaders wangapi wanasafiri nchi nzima...
Inakuwaje yeye awe tofauti na wengine wote?
TUNASISITIZA ATOKE HUKO ALIPO AJE ARUSHA ...
NA TIBA YAKE IWE OFFICIAL TO MEET INTERNATIONAL STANDARDS...za tiba mbadala! What is the big issue on here?
Ni simple. Ukiitaka dawa nenda loliondo. Hutaki Acha. Mambo ya international standards, official, uduni wa huduma za kijamii katika eneo la kutolea huduma yeye hayamhusu. Anachosema ni kwamba, unataka dawa nenda, ila hakuiti wala hakulazimishi. utajua mwenyewe namna ya kukabiliana na changamoto utakazozikuta. as simple as that.
First Lady inasemekana alikuwa huko jana.
Haina mantiki yeyote. Kwanini mtu mmoja awafanye watanzania wote wamfuate huko porini?
Cha ajabu viongozi nao wanunga msafara .... Kwani ni ushirikina????
Huyu mtu alazimishwe ahimishie kituo mahali ambapo ni rahisi kijamii kufikiwa na kumonitor kazi zake na wagonjwa wanomfuata.
Ofcoz ndivyo alivyotangaza tokea awali, kama vipi wahi sasa.jamani kuna tetesi eti babu anasitisha huduma coz ya kwaresma.hii iko vp,maana nilijiandaa ku mvisit this week.
Typical supersticious mind set!!!!!
Nasikia hata JK ana mpango wa kwenda ili aiwahi j5.
Wito: Babu ahamishiwe Arusha!!!
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/115672-wito-mganga-wa-loliondo-afanyie-shughuli-zake-arusha.html