Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa zake hazitakiwi kuhamishwa katika eneo lake!Waimalishe infrastructure huko huko!
Redcross wachimbe vyoo? mi nadhani 2ngekuwa na selikali ningeishauri imwamishe nakumuweka ktk sehem zenye miundo mbinu kama hospitalini atolee hapo huduma zake napo ni baada ya kujilidhisha na huduma zake. KWA BAHATI MBAYA SERIKALI HA2NAHuko Loliondo kuna maelfu ya watu, hakuna choo,maji,hotel, na magonjwa ya mlipuko yakitokea itakuwa janga la Taifa.
Kwa nini serikali ipo kimya ikasaidia kuweka utaratibu?
Msalaba mwekundu waende huko ili watoe huduma
Kazi kulalamika, wekeni ushahidi hap wa pic's
Something is going to break there. There is no infrastructure to handle all those people.
Kazi kulalamika, wekeni ushahidi hap wa pic's
Redcross wachimbe vyoo? mi nadhani 2ngekuwa na selikali ningeishauri imwamishe nakumuweka ktk sehem zenye miundo mbinu kama hospitalini atolee hapo huduma zake napo ni baada ya kujilidhisha na huduma zake. KWA BAHATI MBAYA SERIKALI HA2NA
Something is going to break there. There is no infrastructure to handle all those people.