Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

Nimeamini nabii hakubaliki kwao.
Watu wanatoka nje ya nchi na wanapona nyie endeleeni kubisha tuu
 
Nasikia mapapparazz woote, FFU na wengine wanaojifanya kwenda kutafiti huko, kilicho wapeleka ni tiba. Mengine wanazuga tu........
 
Something is going to break there. There is no infrastructure to handle all those people.
 
Dawa zake hazitakiwi kuhamishwa katika eneo lake!Waimalishe infrastructure huko huko!

Mkuu ona hii thread! https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/115561-apoteza-maisha-akisubiri-tiba-loliondo.html

Apoteza maisha akisubiri tiba loliondo.
Kuna taarifa kuwa mgonjwa mmoja mwenye asili ya ki-asia amepoteza maisha baada ya kuzidiwa kwenye foleni ya kusubiri tiba ya mchungaji wa loliondo.
Inasemekana viongozi wa kiserikali na matajiri wakubwa wanatumia nyadhifa zao 'kuchakachua' na kuwaacha walalahoi wakisubiri foleni.
USHAURI:Chonde chonde wagonjwa mnaoenda huko chukueni dawa zenu za kawaida kwani huduma inachelewa sana.
 
Huko Loliondo kuna maelfu ya watu, hakuna choo,maji,hotel, na magonjwa ya mlipuko yakitokea itakuwa janga la Taifa.

Kwa nini serikali ipo kimya ikasaidia kuweka utaratibu?

Msalaba mwekundu waende huko ili watoe huduma
Redcross wachimbe vyoo? mi nadhani 2ngekuwa na selikali ningeishauri imwamishe nakumuweka ktk sehem zenye miundo mbinu kama hospitalini atolee hapo huduma zake napo ni baada ya kujilidhisha na huduma zake. KWA BAHATI MBAYA SERIKALI HA2NA
 
Kazi kulalamika, wekeni ushahidi hap wa pic's

Babu akihojiwa na wanahabari...


188732_10150113658438965_226440818964_6403679_5365739_n.jpg

190197_10150113658488965_226440818964_6403680_4816856_n.jpg


198901_10150113658553965_226440818964_6403682_7921147_n.jpg

189592_10150113238233965_226440818964_6398433_1531697_n.jpg



Hii ndio hali halisi huko Loliondo, serikali itoe tamko kabla watu hawajauana kwa kukanyagana.
 
Redcross wachimbe vyoo? mi nadhani 2ngekuwa na selikali ningeishauri imwamishe nakumuweka ktk sehem zenye miundo mbinu kama hospitalini atolee hapo huduma zake napo ni baada ya kujilidhisha na huduma zake. KWA BAHATI MBAYA SERIKALI HA2NA

Thanks huu ndio ukweli ambao kwa bahati mbaya sana watanzania wengi hawana taarifa nao. Umeliweka vizuri sana hili nikushukuru tena, ni kweli kwamba HATUNA SERIKALI kwa kuwa hatuna rais. Ukiwa huna rais kwa katiba yetu ilivyo huwezi kuwa na serikali never. Kwanini hatuna rais? Watanzania wanajibu lake.
 
Kazi kweli kweli kama mpaka watu wa mataifa wanakuja kazi ipo
 
wanajeshi waend huko wajenge na kufyeka vichaka vyote pawe peupe....jamani shemeji yangu amepona kisukari kabisa..
 
Huyu mzee watanzania wengi wanamuona kama ndio mkombozi wao na amekuwa celebrity ghafla.

Imani kwa serikali na huduma zake hamna hivyo mtu kama huyu babu ni muhimu sana kwa jamii maskini ya kitanzania.

Bora unywe hiyo dawa hata isipofanya kazi, kuliko upuuzie na uwezo wa tiba hospitalini huna na serikali haina dawa vipimo imara kwa magonjwa sugu ambayo gharama yake ni sh 500.
 
wakati tunatoka huku kumchukua shemeji magari yalikuwa mengi sana kwa kukadiria ni kama 2000.... na yamepaki barabarani....ile nageuza gari nikapishana na makamba nae....nimemwacha huko.
 
Jamaa, ndugu yake amekufa akielkekea loliondo baada ya kupinduka na gari njiani.
 
Back
Top Bottom